AmorePowers
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 700
- 1,142
Homa ya ini huambukiza hata kwa kubadilishana fluids?Pointi ya msingi kapime tu kwanza,,kwani hizo dawa zinatumika pia kwa wagonjwa wa homa ya ini(hepatatis B),..inawezekana pia sio ukimwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Homa ya ini huambukiza hata kwa kubadilishana fluids?Pointi ya msingi kapime tu kwanza,,kwani hizo dawa zinatumika pia kwa wagonjwa wa homa ya ini(hepatatis B),..inawezekana pia sio ukimwi
Ukweli ndio huo.Ila nasikia wataalam wa mambo wanasema homa ya ini ni hatari kuliko hata hii HIV ukweli ni upi?
Hivi kuna wengine wanaumwa na hawatumii dawa?Ashukuru Mungu dada kaanza dose.
Uwezekano wa kumuambukiza mtu mwingine upo chini sana.
Kama hajajigundua anakuwa hajaanza kutumia dawaHivi kuna wengine wanaumwa na hawatumii dawa?
Si watakufa sasa?
Na watu tulivyo wagumu kupima sasa!Kama hajajigundua anakuwa hajaanza kutumia dawa
Siku hizi wanaanza ukigunduliwa tu
Watu wanaroho mbaya Bro , kama mtu anatoa kafara , ona mtu anamuua mwenzake kwa makusudi ..... Alafu siku ya kiama mnakua naye motonKuna viumbe wana roho mbaya.
Yani anajijua hali yake,hata kumu alert mwenzie hawezi!!
Sio kweli !! Achana nakitu kinaitwa Ngoma.... Tunawaona huku wanavyokujaga kwa kujificha ficha .Ila nasikia wataalam wa mambo wanasema homa ya ini ni hatari kuliko hata hii HIV ukweli ni upi?
Ayaaaaaaaaaaaaaaaaa doooohh aiseee Mungu akusaidie uwe uko poa sanaa mkuuBado kijana only 25yrs mzee
Asante kaka i will get backSio kweli !! Achana nakitu kinaitwa Ngoma.... Tunawaona huku wanavyokujaga kwa kujificha ficha .
Ila naamin you are safe usiogope mkuu!!
Hapo kwenye homa ya ini ndo balaa zaidi, bora ingekuwa ukimwi. Homa ya ini unapata maambukizi hata kwa dendaHuyu mwanamke kama atakuwa anatumia hii combination ya dawa mbili pekee basi atakuwa na homa ya ini(hepatitis) .
Maana tiba yake inatumia combination 2 ya dawa za ARVS ambazo ni Tenofovir na emitricitabine kama kibox kinavyoonekana.
Pia hii dawa ndio ile ilitangazwa siku za hivi karibuni huko mkoani Mbeya kama kinga ya ukimwi,..... Kuna uzi wake hapa jukwaani
Yaah usijali mkuu, kama alikua kwa dozi vzuri nahukuwa unamnyonya ovyo chini uko .Asante kaka i will get back
Wewe ndio boya mpaka leo haujui kama hepatitis B inaambukizwa kwa kujamiianaSasa tatizo la ini wewe mpenziwe linakuusu nini huyo jamaa ni boya kwanj aliwai kumwambia demu tukapime akakataa si waende wakapime pamoja
Amuambukize ebolaEti marafiki zake wamekuta kichupa wamekichukua??? Wamekuja kuletea wewe??
Wee sema ivi,Mzigo wako umekula Na iko kikopo cha dawa umekikuta wee
Kama umekula mzigo usiwaze, tulia tuli..
Vituo vya Afya ni Bure kabisa kucheki Afya yako.
Nakm hukua mkomoaji 'Unaweza kua na Bahati ikiwa nayeye tu ametaka kukuokoa".
Swali ni je,,,Anaweza kua nahuruma nawewe ikiwa alikukubalia mtongozo wako???mpaka anakupa romance ?? Bila kukuambia???
Mimi nakushauri ,Ukikuta Umeungua,Mshitaki kwa kukuambukiza kwa makusudi... Ukishindwa mshitaki ,Mfanyie kitu ambacho hatokaa akisahau.
Kwahiyo kila mahusiano ukitaka kuanza UNAPIMA....na je baada ya kupima kuna CHANJO mnapewa ya kutopata UKIMWI katikati ya mahusiano yenu ???Kama una wasiwasi sana miezi miwili inatosha kabisa kujua afya yako nenda kapime
Mnapata wapi ujasiri wa kuanzisha mahusiano bila kupima? Kuna watu hamna uoga aisee.....Jifunze kupitia hilo.
Wapi huko hua wanakuja kwa kujificha ficha?Sio kweli !! Achana nakitu kinaitwa Ngoma.... Tunawaona huku wanavyokujaga kwa kujificha ficha.
Ila naamin you are safe usiogope mkuu!!
Wazee wa kupiga Deki bana WCBRomance yako ilikua ni ya kupiga deki!
Acheni kujitia kujua, kumbe mnapotosha! HIV ingekuwa kwa urahisi huo ungekuta kila mtu anao, jitahidi kupitia references juu ya risk of transmission, hakuna andiko lolote lililowahi kuonyesha French kiss zinasambaza!Pia inategemeana na romance kuna romance nyingine unaweza pata ukimwi hata bila sex
Mf. Mdomoni kama kutakua na mchubuko wa size yeyote ile
So nenda kapime ukikuta huna rudi baada ya next three month Pima tena hapo utakua umejijua kama uko salama au lah..l