Je, hili ni box la vidonge vya ARV?

Je, hili ni box la vidonge vya ARV?

Pointi ya msingi kapime tu kwanza,,kwani hizo dawa zinatumika pia kwa wagonjwa wa homa ya ini(hepatatis B),..inawezekana pia sio ukimwi
Homa ya ini huambukiza hata kwa kubadilishana fluids?
 
Kuna viumbe wana roho mbaya.
Yani anajijua hali yake,hata kumu alert mwenzie hawezi!!
Watu wanaroho mbaya Bro , kama mtu anatoa kafara , ona mtu anamuua mwenzake kwa makusudi ..... Alafu siku ya kiama mnakua naye moton

Haaaaaa hapana .... Watu wanaroho mbaya
 
Huyu mwanamke kama atakuwa anatumia hii combination ya dawa mbili pekee basi atakuwa na homa ya ini(hepatitis) .

Maana tiba yake inatumia combination 2 ya dawa za ARVS ambazo ni Tenofovir na emitricitabine kama kibox kinavyoonekana.

Pia hii dawa ndio ile ilitangazwa siku za hivi karibuni huko mkoani Mbeya kama kinga ya ukimwi,..... Kuna uzi wake hapa jukwaani
Hapo kwenye homa ya ini ndo balaa zaidi, bora ingekuwa ukimwi. Homa ya ini unapata maambukizi hata kwa denda
 
Eti marafiki zake wamekuta kichupa wamekichukua??? Wamekuja kuletea wewe??

Wee sema ivi,Mzigo wako umekula Na iko kikopo cha dawa umekikuta wee
Kama umekula mzigo usiwaze, tulia tuli..

Vituo vya Afya ni Bure kabisa kucheki Afya yako.

Nakm hukua mkomoaji 'Unaweza kua na Bahati ikiwa nayeye tu ametaka kukuokoa".


Swali ni je,,,Anaweza kua nahuruma nawewe ikiwa alikukubalia mtongozo wako???mpaka anakupa romance ?? Bila kukuambia???


Mimi nakushauri ,Ukikuta Umeungua,Mshitaki kwa kukuambukiza kwa makusudi... Ukishindwa mshitaki ,Mfanyie kitu ambacho hatokaa akisahau.
Amuambukize ebola
 
Kama una wasiwasi sana miezi miwili inatosha kabisa kujua afya yako nenda kapime

Mnapata wapi ujasiri wa kuanzisha mahusiano bila kupima? Kuna watu hamna uoga aisee.....Jifunze kupitia hilo.
Kwahiyo kila mahusiano ukitaka kuanza UNAPIMA....na je baada ya kupima kuna CHANJO mnapewa ya kutopata UKIMWI katikati ya mahusiano yenu ???
 
Pia inategemeana na romance kuna romance nyingine unaweza pata ukimwi hata bila sex

Mf. Mdomoni kama kutakua na mchubuko wa size yeyote ile


So nenda kapime ukikuta huna rudi baada ya next three month Pima tena hapo utakua umejijua kama uko salama au lah..l
Acheni kujitia kujua, kumbe mnapotosha! HIV ingekuwa kwa urahisi huo ungekuta kila mtu anao, jitahidi kupitia references juu ya risk of transmission, hakuna andiko lolote lililowahi kuonyesha French kiss zinasambaza!

Zaidi ni kuwa mate yana enzymes ambao wana inhibit retrovirus!!


Kwako mtoa maada maisha ni delicate usiyachezee, ni bora hata kama ni one night stand ukapime, la kama hataki kupima mwacheee
 
Back
Top Bottom