Sio goli...na kulingana GLT..siku hiz hakuna cha 3/4..ni lazima mpira wote uvuke mstariSio goli hilo, goli 3/4 ya mpira inatakiwa iwe imevuka mstari.
Siyo goli,inabid mpira wote uvuke mstarigoal
Mkuu unalazimisha.Sio goli .... Goal should be earned and not rewarded. Mfungaji ameshindwa kukamilisha kazi, kala ng'ombe mzima kashindwa mkia
Hakuna goli hapo. FULL STOP
Siku hizi sheria inasema mpira wote lzm uvukeSio goli hilo, goli 3/4 ya mpira inatakiwa iwe imevuka mstari.
Hahahaha, kwann waliweka goal technology?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani Refa kasemaje?
Kama hivyo ndivyo, basi hilo ni goliSio goli hilo, goli 3/4 ya mpira inatakiwa iwe imevuka mstari.