Je, hili ni goli au sio goli? Kama wewe ni mtaalamu wa soccer.

Je, hili ni goli au sio goli? Kama wewe ni mtaalamu wa soccer.

Sio goli .... Goal should be earned and not rewarded. Mfungaji ameshindwa kukamilisha kazi, kala ng'ombe mzima kashindwa mkia

Hakuna goli hapo. FULL STOP
Mkuu unalazimisha.

Kanuni zinasemaje? Mpira unaweza kuvuka mstari lakini ikawa offside kwa mfungaji. Sheria zinadai mpira ukivuka mstari zaidi ya Nusu ni goli au ni mpaka wote? Okwwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Simba 4 wao 0.
 
d46c79ad3e853183c7768b3acf1cb481.jpg
Hahahaha, kwann waliweka goal technology?
 
Sio goli hilo mkuu, sheria inataka mpira wote uvuke mstari.

Waangalie waingereza na teknolojia yao ya goal line, utang'amua kitu.
 
Sio Goal ...Goal nipale tuu mpira utakapokuwa umevuka hiyoo touch line nasio mpira Kuwa ahalfu of touch line [emoji106]
 
Back
Top Bottom