Hiyo kwani sio 3/4 mkuuSio goli hilo, goli 3/4 ya mpira inatakiwa iwe imevuka mstari.
mimi sio mtaalamu wa soka lakini hilo ni goli. yani kama vile nisivyokuwa mtaalamu wa magari lakini tairi likipata pancha ni lazima libadilishwe au kuzibwa.
MamboGood
3/4 iwe imevuka mpira?Sio goli hilo, goli 3/4 ya mpira inatakiwa iwe imevuka mstari.
mimi sio mtaalamu wa soka lakini hilo ni goli. yani kama vile nisivyokuwa mtaalamu wa magari lakini tairi likipata pancha ni lazima libadilishwe au kuzibwa.
hapo tusikilize maamuzi ya refa ndo ya mwisho.kama itampendeza akasema goli ni goli kama akisema si goli si goli.na hamna haja ya kuzonga zonga.kama akisema goli mpira uwekwe kati.tujifunze kuwaheshimu marefarii wetu.
tairi ya tela la fiat lile la rim ya vipande vitatu? ile tela inayoitwa peacenza au viberti au gorica itaendelea na safari? haya tuone kama unayajua matela weweusikariri,mfano semi trailer kule kwenye matairi mengi yanayokaa mawilimawili likipata pancha unaweza ukaendelea tu na safari!!hata hivyo umekosea hilo sio goli