Je, hili ni goli au sio goli? Kama wewe ni mtaalamu wa soccer.

Je, hili ni goli au sio goli? Kama wewe ni mtaalamu wa soccer.

wote mnaosema ni goli ndio mnaosababishaga ubishi wa mpira usio na maana kutokana na kutofahamu kwenu taratibu na sheria za mchezo husika!!!Jengeni utamaduni wa kujua sheria husika kabla hamjatoa mishipa ya shingo ya ubishi
 
hapo tusikilize maamuzi ya refa ndo ya mwisho.kama itampendeza akasema goli ni goli kama akisema si goli si goli.na hamna haja ya kuzonga zonga.kama akisema goli mpira uwekwe kati.tujifunze kuwaheshimu marefarii wetu.
 
mimi sio mtaalamu wa soka lakini hilo ni goli. yani kama vile nisivyokuwa mtaalamu wa magari lakini tairi likipata pancha ni lazima libadilishwe au kuzibwa.

usikariri,mfano semi trailer kule kwenye matairi mengi yanayokaa mawilimawili likipata pancha unaweza ukaendelea tu na safari!!hata hivyo umekosea hilo sio goli
 
hapo tusikilize maamuzi ya refa ndo ya mwisho.kama itampendeza akasema goli ni goli kama akisema si goli si goli.na hamna haja ya kuzonga zonga.kama akisema goli mpira uwekwe kati.tujifunze kuwaheshimu marefarii wetu.

sheria ni jambo moja,na maamuzi ni kitu kingine!!wewe unazungumzia maamuzi,hapa imeulizwa sheria,sheria inataka mpira uingie wote,simple maths,1 ni kitu kizima,ili liitwe goli 1 lazima mpira uingie wote asilimia zote,hakuna 3/4 goal au 2/3 goal bali 1 goal hivyo mpira lazima uvuke wote!!
 
usikariri,mfano semi trailer kule kwenye matairi mengi yanayokaa mawilimawili likipata pancha unaweza ukaendelea tu na safari!!hata hivyo umekosea hilo sio goli
tairi ya tela la fiat lile la rim ya vipande vitatu? ile tela inayoitwa peacenza au viberti au gorica itaendelea na safari? haya tuone kama unayajua matela wewe
 
Back
Top Bottom