GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,225
Joka kuuJoka la mdimu ni lipi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joka kuuJoka la mdimu ni lipi mkuu?
Joka kuu
Walijua joka kuu weye? minajua haligandi ila la kakamaa, tena sio ukitema mate, bali ukilitia mate.Kwahiyo hilo ndo ukitema mate linaganda? Hizo ni Myth mkuu
Walijua joka kuu weye? minajua haligandi ila la kakamaa, tena sio ukitema mate, bali ukilitia mate.
Ni kweli,mate ya binadamu ni sumu kali sana kwa nyoka,humfanya awe hypnotized kwa muda,ukimuuma na meno ndio kiama chake kabisa
Manyunchwi hii ID yako ina maana gani!!?Japo kuuliza si ujinga, ila angalia sana majibu unayopewa na utakavyoyafanyia kazi, kisha changanya na akili zako, umtemee nyoka mate?, kuna jiwe pembeni ila huchukui ila unaanza kusubiria mate yajae mdomoni kwa kuwaza ndimu...nyoka anakuangalia tuu?
Hata kuku pia nasikia akimng'ata nyoka huwa anakufa pale pale! Cjui km hii ni habari ya kweli!
Sio kuku tu hata binadamu
Nimesikia kuwa unapomuona nyoka ukimtemea mate anaganda na hatembei.....sijui ni kweli?
sio kwel ht kdogo..hata kdogo..tena. ht kdogo..
nlikulia na kuishi sehem ambayo kuna nyoka wengi sna na wa kila aina na utoton tuldanganywa kuwa mate ya asbh kabla hujapga mswak n sumu kali inayoweza kuua nyoka..nliwatemea sna na hayo mate mazito ya asubh lakn wap,walkimbia km wanariadha...
Acha uoga; hii ni kweli kabisa.Aathirike kisaikojia wapi! Atakua anashangaa mate ya binadamu yanavyonuka ugoro. Ati nimuone nyoka halafu sina silaha karibu nianze kumtemea mate!! Labda miguu iwe likizo.
Acha uoga; hii ni kweli kabisa.
Yaani hata ukikutana na cobra akasimamia mkia, wewe msubirie tu, akisogea kukubonda unamtemea fasta; utamuona kadondoka chali.
Acha uoga; hii ni kweli kabisa.
Yaani hata ukikutana na cobra akasimamia mkia, wewe msubirie tu, akisogea kukubonda unamtemea fasta; utamuona kadondoka chali.
mhhh usije ukadondoka mwenyewe
Mnatemeana mate... Atakaye ishiwa ana gana
Bujibuji ndio hivyo tenanacheka peke yangu comments za humu ndani