Je, Hili ni kweli kuhusu nyoka?

Je, Hili ni kweli kuhusu nyoka?

atatabasamu kwa kupata mawindo rahisi kiasi hicho!! ucheze na nyoka!! hebu hata kwenye picha angalia sura yake inavypendeza!!
 
Naskia Wamasai wanayo dawa ya nyoka...ukiinywa na akatokea nyoka akugonge basi atakufa nyoka na wewe utaendelea kudunda kama kawa.
 
Back
Top Bottom