Je, Hili ni kweli kuhusu nyoka?

Me nishawai kuona live mzee mmoja alimtemea nyoka mkubwa then akamsogelea karib na kumpiga na panga baada ya hapo tukamuuliza akasema hvyo,pia akampanua mdomo na kutuonesha meno yote na jinsi yanavyofanya kazi alsema ukimtemea anakuwa anachanganua nn kimemfika hvo anasitisha kutoa sumu na anarud nyuma anajiviliga(kama nilivyoona siku hiyo)bt ni kitendo cha haraka mate yanatua na panga juu usimpe mda wa kujiandaa baada ya kujua mate yako hayamdhuru...bt cna uhakika zaid kama labda ni iman tu za kujipa ujasili au la
 
Japo kuuliza si ujinga, ila angalia sana majibu unayopewa na utakavyoyafanyia kazi, kisha changanya na akili zako, umtemee nyoka mate?, kuna jiwe pembeni ila huchukui ila unaanza kusubiria mate yajae mdomoni kwa kuwaza ndimu...nyoka anakuangalia tuu?
 
Ni kweli,mate ya binadamu ni sumu kali sana kwa nyoka,humfanya awe hypnotized kwa muda,ukimuuma na meno ndio kiama chake kabisa
 
Ni kweli,mate ya binadamu ni sumu kali sana kwa nyoka,humfanya awe hypnotized kwa muda,ukimuuma na meno ndio kiama chake kabisa

Hata kuku pia nasikia akimng'ata nyoka huwa anakufa pale pale! Cjui km hii ni habari ya kweli!
 
Japo kuuliza si ujinga, ila angalia sana majibu unayopewa na utakavyoyafanyia kazi, kisha changanya na akili zako, umtemee nyoka mate?, kuna jiwe pembeni ila huchukui ila unaanza kusubiria mate yajae mdomoni kwa kuwaza ndimu...nyoka anakuangalia tuu?
Manyunchwi hii ID yako ina maana gani!!?
 
Last edited by a moderator:

Vizuri mkuu umetipatia Experience nzuri.
 
Aathirike kisaikojia wapi! Atakua anashangaa mate ya binadamu yanavyonuka ugoro. Ati nimuone nyoka halafu sina silaha karibu nianze kumtemea mate!! Labda miguu iwe likizo.
Acha uoga; hii ni kweli kabisa.
Yaani hata ukikutana na cobra akasimamia mkia, wewe msubirie tu, akisogea kukubonda unamtemea fasta; utamuona kadondoka chali.
 
Mnatemeana mate... Atakaye ishiwa ana gana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…