P potwemakunge Senior Member Joined Feb 14, 2013 Posts 170 Reaction score 53 Nov 9, 2015 #61 atatabasamu kwa kupata mawindo rahisi kiasi hicho!! ucheze na nyoka!! hebu hata kwenye picha angalia sura yake inavypendeza!!
atatabasamu kwa kupata mawindo rahisi kiasi hicho!! ucheze na nyoka!! hebu hata kwenye picha angalia sura yake inavypendeza!!
G guasa JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 1,933 Reaction score 662 Nov 10, 2015 #62 Fursa ya tafiti hiyo.
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,152 Reaction score 3,473 Nov 10, 2015 #63 ni mate yale ambayo yanakuwemo baada ya kuamka
muxar JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 1,645 Reaction score 1,337 Nov 16, 2015 #64 Haa Nilidhani uko serious.
42_007 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2015 Posts 1,561 Reaction score 824 Nov 22, 2015 #65 Naskia Wamasai wanayo dawa ya nyoka...ukiinywa na akatokea nyoka akugonge basi atakufa nyoka na wewe utaendelea kudunda kama kawa.
Naskia Wamasai wanayo dawa ya nyoka...ukiinywa na akatokea nyoka akugonge basi atakufa nyoka na wewe utaendelea kudunda kama kawa.