Je hili ni kweli?

Inawezekana kuwa na ukweli, kuna binti nipo naye kitabia kafanana na mama lakini rangi na kimo ni tofauti.Nahisi kama nimepungukiwa au amepungukiwa na kitu fulani.
Yaani unahisi kapungukiwa kwasababu kitabia anafanana na mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…