Je hili ni kweli?

Je hili ni kweli?

"Men are what their mothers made them."
--Ralph Waldo Emerson
 
Habari zenu wana JF?

Kuna usemi kuwa "wanawake hupenda kuolewa na baba zao" na "wanaume hupenda kuoa mama zao"

Dont get it wrong, ila ni kuwa binti huwa karibu sana na baba yake hivyo kupelekea kupenda kuwa na mume kama baba yake, halikadhalika kijana kuwa karibu na mama yake hupelekea atamani kuwa na mke kama mama yake (kwa sifa).

Sasa wapendwa wana JF naomba niwaulize, je kwa wanaume wewe ungetamani mke mwenye sifa za mama yako na kwa wanawake wenzangu, je ungetamani mume mwenye sifa kama za baba yako?

Niwatakie jioni njema.
Upo ukweli kiasi fulani hapa
 
wanaume wengi tunapenda kuoa mwanamke waliofanana na shangazi zao
 
FisadiKuu nakugaya, hufai kuwa brother from another mother. Ushauri gani huu sasa jamani...Lol!
 
Back
Top Bottom