Je hili ni kweli?

Kwahiyo suala ni upendo na sio tabia!!
Na unafikiri kuna mtu mwingine zaidi ya mzazi wako awezae kukupa upendo sawa na wa mzazi?
 
Mambo mengi huwa binadamu ana-complicate tu. Hivi utapata wapi mtu amefanana kitabia na baba/mama yako? Apike, afue, alee watoto na atengeneze familia kama afanyavyo mzazi wako.

Humans can be very complex asee.
 
Mambo mengi huwa binadamu ana-complicate tu. Hivi utapata wapi mtu amefanana kitabia na baba/mama yako? Apike, afue, alee watoto na atengeneze familia kama afanyavyo mzazi wako.

Humans can be very complex asee.
Kwahiyo ex darling we hautaki?
 
Wala sitaki!!
Nataka mtu ambaye tutaishi na kufahamiana taratibu hadi hatimae mzunguko we maisha yetu uishe.

Unaoaje mtu kama baba yako ex darling? Inaingia akilini kweli hiyo?
My dad was my best friend, alikuwa ananiita "boss wangu" basi mie bichwa hiloooo, akidrive ananiambia boss kaa hapo sema unataka kwenda wapi basi na kishoka naweka kabisa, alinidekeza mnooo, hunigusi akiwepo. Alafu mpolee hapendi ugomvi.

Kuna baadhi ya tabia huwa napenda mtu wangu awe nazo teh teh teh!!
 
Tabia za last born hizo[emoji12] kudekezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…