Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
- Thread starter
- #421
Kwahiyo suala ni upendo na sio tabia!!nionavyo mimi nikwamba, ule upendo unaotoka kwa baba au kwa mama unakuwa ni upendo wenye faraja sana maishani hivyo ikiwa kama kijana au msichana akipata mume au mke mwenye upendo kama wa baba yake au mama yake basi huhisi furaha sana maishani na ndoa hudumu,
note:sio tabia za baba au mama ni upendo wa baba au mama,
mfano tu hebu kumbuka wakati ulipo ugua alafu mama yako au baba yako akakuuguza hadi kupona, kwanza unapona haraka
Na unafikiri kuna mtu mwingine zaidi ya mzazi wako awezae kukupa upendo sawa na wa mzazi?