Je hili ni kweli?

Je hili ni kweli?

Nampenda sana mama yangu, ametulea vizuri sana ila sasa hivi natafuta mke na mama yangu siyo reference. Natumaini na nakusudia kupata kitu tofauti kabisa.
Sipendi kujibu 'why?'
ungejibu why ingekuwa poa kweli as umenifanya niwe curious!
 
Mkuu Ngabu ina maana wewe unaweza kutoa product kali kuliko alizotoa MUNGU au...nimeuliza tu, sina mafungamano na upande wowote.

Most definitely.

Ingawa huko kwa mungu mi wala si mdau lakini nikiangalia hao unaowaita products za mungu nabaki kujiuliza tu....'is that the best he could do?'
 
Most definitely.

Ingawa huko kwa mungu mi wala si mdau lakini nikiangalia hao unaowaita products za mungu nabaki kujiuliza tu....'is that the best he could do?'
OMG!!!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Most definitely.

Ingawa huko kwa mungu mi wala si mdau lakini nikiangalia hao unaowaita products za mungu nabaki kujiuliza tu....'is that the best he could do?'
Watakupinga wengi....ila ukiwatazama kwa umakini wamejiedit kwa plastic surgery.
 
Somehow kama 75% hivi ni ukweli....ila siri nyingi za Baba atafahamu mtoto wa kiume hali kadhalika siri nyingi za Mama atazijua mtoto wa kike.

hii pia yaweza kuwa sababu, as anakuwa hazijui siri za upande mwingine hivyo anamuona"the best"
 
Back
Top Bottom