Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
hahahaaa!! nimejikuta nikicheka ila nahisi sikupaswa kucheka, nafikiri kuna story nzito nyuma ya hilo.
You may think it's funny but there's always a method to my madness.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaa!! nimejikuta nikicheka ila nahisi sikupaswa kucheka, nafikiri kuna story nzito nyuma ya hilo.
ungejibu why ingekuwa poa kweli as umenifanya niwe curious!Nampenda sana mama yangu, ametulea vizuri sana ila sasa hivi natafuta mke na mama yangu siyo reference. Natumaini na nakusudia kupata kitu tofauti kabisa.
Sipendi kujibu 'why?'
Mkuu Ngabu ina maana wewe unaweza kutoa product kali kuliko alizotoa MUNGU au...nimeuliza tu, sina mafungamano na upande wowote.
Watakupinga wengi....ila ukiwatazama kwa umakini wamejiedit kwa plastic surgery.Most definitely.
Ingawa huko kwa mungu mi wala si mdau lakini nikiangalia hao unaowaita products za mungu nabaki kujiuliza tu....'is that the best he could do?'
Somehow kama 75% hivi ni ukweli....ila siri nyingi za Baba atafahamu mtoto wa kiume hali kadhalika siri nyingi za Mama atazijua mtoto wa kike.
Unajua Siku hizi nimekugaya sijui hizo taarifa unazo[emoji12]sijui kapatwa na nini aisee,maana sio kwa kutugaya huko!
umeniwakilisha mkuuSidhani kama kuna mwanamke dunia hii mwenye sifa za kuweza kuvishwa pete na mimi, labda itokee nimemuumba mwenyewe.
Hongera sana mkuu wapo wengi sana, mawifi zetu wanatufanana sura kiaina. Na familia nyingi huwa hiviisee ww mkuu mm ni mwathirika wa hii kitu