Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We are highly blessedthe best father and huby, lucky us.
Thank you for your credibility sweet.We are highly blessed
Hahaha yupo, atakuja tu soonhivi yuko wapi aisee! sijui kajichimbia wapi!
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Thank you for your credibility sweet.
Me mtu akiongea khs mchumba na kuoa huwa nahisi kizungumkuti mbali na hapo ht nyimbo za mapenzi cku hizi ctaki ht kuziskia zinanchefua kinoma!!hata wanamuziki wanao entertain mapenzi pia sitaki hata kuwaelewa naona wanaimba vitu vya ajabu tu!!
Duuuhh kazi kweli kweli.
Japo mama alikuwa ni shujaa ngazi ya familia na jamii lakini sijawahi kuwaza kuoa mwanamke wa aina yake. Na hata wanawake wanaotoka kabila moja na mama yangu sipendi kuwa nao karibu.
Nyakati zinabadilika na kwa maana hiyo huenda tabia ya mama ilikuwa BORA nyakati hizo. Kila mgeni ni lazima "akilimiwe" kama sikukuu . Kila mwenye shida lazima asaidiwe.
Nahitaji mtu wa Tofauti.
Ni wachache sanaWanaume wengi huoa wanawake wanaofanana taswira na dada zao
ungejibu why ingekuwa poa kweli as umenifanya niwe curious!
Kwa mfano wewe unavyopenda pesa na kuomba kama Matonya unafikiri mtoto wako wa kiume atatamani kuwa na mke kama wewe mama yake?!! Au housegirl atatamani mume kama baba yake?.... I dont think soHabari zenu wana JF?
Kuna usemi kuwa "wanawake hupenda kuolewa na baba zao" na "wanaume hupenda kuoa mama zao"
Dont get it wrong, ila ni kuwa binti huwa karibu sana na baba yake hivyo kupelekea kupenda kuwa na mume kama baba yake, halikadhalika kijana kuwa karibu na mama yake hupelekea atamani kuwa na mke kama mama yake (kwa sifa).
Sasa wapendwa wana JF naomba niwaulize, je kwa wanaume wewe ungetamani mke mwenye sifa za mama yako na kwa wanawake wenzangu, je ungetamani mume mwenye sifa kama za baba yako?
Niwatakie jioni njema.
Why mnajicorrect appearence zenu?seriously!! guys camoooon!! nyie mmekamilika sana eti?