Je hili ni kweli?

Je hili ni kweli?

definately, hata asipokuwa exact but more improved version!
 
Me mtu akiongea khs mchumba na kuoa huwa nahisi kizungumkuti mbali na hapo ht nyimbo za mapenzi cku hizi ctaki ht kuziskia zinanchefua kinoma!!hata wanamuziki wanao entertain mapenzi pia sitaki hata kuwaelewa naona wanaimba vitu vya ajabu tu!!
 
Obvous,
We mwanaume upende tabia za kiume si utakuwa wa ajabu. Na mdada apende tabia za kike tutamshtukia. So is true, lazima mkaka atapenda kuona tabia za kike, na role model ni mama ake, vivyo hivyo kwa mdada
 
Duuuhh kazi kweli kweli.

Japo mama alikuwa ni shujaa ngazi ya familia na jamii lakini sijawahi kuwaza kuoa mwanamke wa aina yake. Na hata wanawake wanaotoka kabila moja na mama yangu sipendi kuwa nao karibu.

Nyakati zinabadilika na kwa maana hiyo huenda tabia ya mama ilikuwa BORA nyakati hizo. Kila mgeni ni lazima "akilimiwe" kama sikukuu . Kila mwenye shida lazima asaidiwe.

Nahitaji mtu wa Tofauti.
 
duuuh! pole sana,mapenzi yamekufanya nini?
Me mtu akiongea khs mchumba na kuoa huwa nahisi kizungumkuti mbali na hapo ht nyimbo za mapenzi cku hizi ctaki ht kuziskia zinanchefua kinoma!!hata wanamuziki wanao entertain mapenzi pia sitaki hata kuwaelewa naona wanaimba vitu vya ajabu tu!!
 
hautaki mke atakaewakirimu wageni!!
acha uchoyo.

Duuuhh kazi kweli kweli.

Japo mama alikuwa ni shujaa ngazi ya familia na jamii lakini sijawahi kuwaza kuoa mwanamke wa aina yake. Na hata wanawake wanaotoka kabila moja na mama yangu sipendi kuwa nao karibu.

Nyakati zinabadilika na kwa maana hiyo huenda tabia ya mama ilikuwa BORA nyakati hizo. Kila mgeni ni lazima "akilimiwe" kama sikukuu . Kila mwenye shida lazima asaidiwe.

Nahitaji mtu wa Tofauti.
 
ungejibu why ingekuwa poa kweli as umenifanya niwe curious!

My mama is a type of a person who controls everything arround her, everything. Hata namna unavyojikuna atakuelekeza!!

Sasa nafikiri it might be okay for a mother/child relationship lakini I dont think I can handle marrying a 'control freak', nitaboreka mno
 
Habari zenu wana JF?

Kuna usemi kuwa "wanawake hupenda kuolewa na baba zao" na "wanaume hupenda kuoa mama zao"

Dont get it wrong, ila ni kuwa binti huwa karibu sana na baba yake hivyo kupelekea kupenda kuwa na mume kama baba yake, halikadhalika kijana kuwa karibu na mama yake hupelekea atamani kuwa na mke kama mama yake (kwa sifa).

Sasa wapendwa wana JF naomba niwaulize, je kwa wanaume wewe ungetamani mke mwenye sifa za mama yako na kwa wanawake wenzangu, je ungetamani mume mwenye sifa kama za baba yako?

Niwatakie jioni njema.
Kwa mfano wewe unavyopenda pesa na kuomba kama Matonya unafikiri mtoto wako wa kiume atatamani kuwa na mke kama wewe mama yake?!! Au housegirl atatamani mume kama baba yake?.... I dont think so
 
Back
Top Bottom