nnaleke3
Member
- Jul 16, 2020
- 99
- 140
Habari za weekend wakubwa,,,moja kwa moja niende ktk mada hapo juu
Mimi ni mgeni kidogo ktk kumiliki vyombo vya moto yaani gari,kwa hiyo ningeomba kujuzwa juu ya hali ninayoiona kila siku asubuhi pindi ninapowasha hiyo gari
Natumia gari aina ya chaser GX100 ila kila siku asubuhi nikiwasha gari nakaa kama dakika tano hivi naanza kuona kitu kama moshi hivi lakini unakuwa mweupe baada ya muda kidogo naona matone ya maji ktk exost yanadondoka
Kwa hiyo naomba kujuzwa hii kitaalam ni tatizo la injini au ni nini?