Je hili ni tatizo kwa injini ya gari yangu?

nnaleke3

Member
Joined
Jul 16, 2020
Posts
99
Reaction score
140
Habari za weekend wakubwa,,,moja kwa moja niende ktk mada hapo juu
Mimi ni mgeni kidogo ktk kumiliki vyombo vya moto yaani gari,kwa hiyo ningeomba kujuzwa juu ya hali ninayoiona kila siku asubuhi pindi ninapowasha hiyo gari
Natumia gari aina ya chaser GX100 ila kila siku asubuhi nikiwasha gari nakaa kama dakika tano hivi naanza kuona kitu kama moshi hivi lakini unakuwa mweupe baada ya muda kidogo naona matone ya maji ktk exost yanadondoka
Kwa hiyo naomba kujuzwa hii kitaalam ni tatizo la injini au ni nini?

 
Kawaida kabisa, sema naona lipo tatizo hapo kwenye tairi, imekuwa kipara.
 
Kwahio tairi jinsi ilivyo kipara hapo hio gari huenda kuna leakage ya water horsepipe😅!

Gari zenye kutoa maji ni zile ambazo zina viatu vipya na namba DYS
Hahahaha 😂😂😂
Tairi ina miaka 10 haijabadilishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…