Je, hili tatizo langu pia ni suala la nguvu za kiume? Nakosa nguvu

Je, hili tatizo langu pia ni suala la nguvu za kiume? Nakosa nguvu

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Ndugu zangu, yaani nikiwa kwenye tendo, nashughulika vizuri tu. Ila sasa baada ya siku moja ya tendo, mwili unakua unachoka sana. Nakua na usingizi mzito hata mchana naweza lala masaa hata 5. Jambo hili huingilia ufanyaji kazi wangu kabisa na kufanya nishindwe kufanya kazi.

Nimepima sukari na pressure naambiwa ziko kawaida kabisa. Mke anadhani labda nachepuka lakini ni kuwa huwa kuna muda sitaki kushiriki hasa nikijua kuna kazi mbeleni natakiwa kuifanikisha, nifanyeje?
 
Mnapenda kugundua matatizo, ushaambiwa huna tatizo Bado unahangaika kuyatafuta huku. Ngoja wakuletee si unawajua lakini!watakutia wasiwasi na hizo ulizonazo utazikosa,uwe unakula sana

Ngono humaliza nguvu mwambie mkeo, kwani anataka sanasana?
 
Fanya mazoezi bro....unaonekana ww nh mvivu 2...kwanza umechek BMI?
 
Mkeo anaonekana fundi Sana halafu amekuzidi umri, uzoefu, maarifa ya kingono na ujuzi.
 
Back
Top Bottom