Je hili tatizo ni la kutokufanya mapenzi muda mrefu?

We BWENIZ nimekuonya sana usilete mambo ya ndani huku. Subiri ndoa si nimeshaleta Mahari kwenu?
 
Habari zenu wana JF,mimi ni msichana ambaye nina mchumba wangu tunakaribia mwaka na nusu sasa katika mahusiano yetu, hatujawai fanya mapenzi ila huko nyuma niliwahi kuwa na mpezi na nikasex nae, tukaachana baada ya kumpata huyu yeye anasema tusigusane hadi, tufunge ndoa, na ni mwaka na nusu sasa, yuko bize sana na biashara zake anasafiri sana, ila mahitaji ya hela vt napewa, sasa hivi nimekuwa nikiumwa kiuno sana, na kuna rafiki yangu nimemuuliza ananiambia ni kutokufanya mapenzi muda mrefu, sasa nmekuja mnishauri jamani, dawa gani naweza tumia kiuno kikapoa, nmemueleza mpenzi wangu ananiambia nimvumilie tuu ,tutafunga ndoa,
USHAURI WANGU MM ACHANA KABISA NA KUOMBA USHAURI HASA KWA MARAFIKI SI WANAUME WALA WANAWAKE WATAKUHARIBIA MAISHA HAWATAKUPA USHAURI SAHIHI ALSO JITAHID KUVUMILIA AU WE SHIDA YAKO SI KUJA KUWA MKE WA MTU SHIDA YAKO NI KUPATA MTU WA KISEX NAE?

HIZO NYEGE ZIWEPO ILA SI TO THAT EXTENT , BE CAREFUL, WATCH IT!
 
tuliza kipapa hicho wewe shauri yako fanya mazoezi hakuna ugonjwa wa kutokufanya mapenzi.. halafu uzinzi ni dhambi amri ya 6 .. weka neno la Mungu moyoni mwako achana na marafiki.. neno la Mungu linakufundisha nini kuhusu dhambi na uasherati kijana ?.. mwili wako ni hekalu ...kwa nini unataka kugeuza hekalu kuwa pango la wanyaganyi binti.?...../..... jitunze na ni dhambi kufanya ngono vitabu vya Mungu vyote vinakataza .. kemea pepo la ngono usikubali kucheat...
neno la bwana likae kwa wingi moyoni mwako . amen
Ivi wanawake mnaojielewa na mnajua nn mnachokitaka hapa Tz Kama ww bado wapo ..???czani uko smart sana kichwani dada angu....
 
tuliza kipapa hicho wewe shauri yako fanya mazoezi hakuna ugonjwa wa kutokufanya mapenzi.. halafu uzinzi ni dhambi amri ya 6 .. weka neno la Mungu moyoni mwako achana na marafiki.. neno la Mungu linakufundisha nini kuhusu dhambi na uasherati kijana ?.. mwili wako ni hekalu ...kwa nini unataka kugeuza hekalu kuwa pango la wanyaganyi binti.?...../..... jitunze na ni dhambi kufanya ngono vitabu vya Mungu vyote vinakataza .. kemea pepo la ngono usikubali kucheat...
neno la bwana likae kwa wingi moyoni mwako . amen
KIPAPA {hii tungo tata} but nano lako limetulia akiwa na akili akalifuata nadhani hatojuta...mapenzi sio mpaka watu wagusanishe vikojoleo...
 
Hv kuna mwanaume anaemwambia binti wake wasifanyane mpaka ndoa huyo mwanaume sio ridhiki kwa kweli
 
Ivi wanawake mnsojielewa na mnajua nn mnachokitaka Tz Kama ww bado wapo czani uko smart sana dada angu....
hawajielewi wengi amepata mtu hamuombi hapo analalamika .. anakuja kutafuta watu wakumuomba hapo eti ili apone kiuno ... anywe mafuta ya taa.. kuna wanawake wengine wanagongwa huko kila siku anaipeleka kwa ahadi ya ndoa na hakuna cha ndoa wala nini?
 
ajielewi uyo bado..
 
Habari zenu wana JF,mimi ni msichana ambaye nina mchumba wangu tunakaribia mwaka na nusu sasa katika mahusiano yetu, hatujawai fanya mapenzi ila huko nyuma niliwahi kuwa na mpezi na nikasex nae, tukaachana baada ya kumpata huyu yeye anasema tusigusane hadi, tufunge ndoa, na ni mwaka na nusu sasa, yuko bize sana na biashara zake anasafiri sana, ila mahitaji ya hela vt napewa, sasa hivi nimekuwa nikiumwa kiuno sana, na kuna rafiki yangu nimemuuliza ananiambia ni kutokufanya mapenzi muda mrefu, sasa nmekuja mnishauri jamani, dawa gani naweza tumia kiuno kikapoa, nmemueleza mpenzi wangu ananiambia nimvumilie tuu ,tutafunga ndoa,
Ni KWELI
 
Acha ubwenzy litatokea duduwasha ambalo hata dalili ya kuoa halina liwashe hicho kiuno then jamaa akishtuka najua anamitego yake anajua anachokifanya so angalia..kosa hili halinaga msamaha kwa 98% ya wanaume wanao subiri ndoa
 
  • Thanks
Reactions: wax
Mmh hakuna kufanya nn vile mpk ndoa?! Aiseee ww unataka kuchukua mbuz kwnye gunia. N pale utapokuta show nusu dk kwisha habari... Hahaaa pole sn mwaya, hilo tatizo lako ni vyema ukaenda kuona ma specialist wa wanawake
 
Back
Top Bottom