Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Ha ha ha, hii kitu lazima ilete maswali, ME anakataaje kugegeda?Halafu cha kushangaza ni ME ndiye kagoma kugegeda!
Yaani kutakuwa na kasoro tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha, hii kitu lazima ilete maswali, ME anakataaje kugegeda?Halafu cha kushangaza ni ME ndiye kagoma kugegeda!
Ha ha ha, hii kitu lazima ilete maswali, ME anakataaje kugegeda?
Yaani kutakuwa na kasoro tu.
POINT!tuliza kipapa hicho wewe shauri yako fanya mazoezi hakuna ugonjwa wa kutokufanya mapenzi.. halafu uzinzi ni dhambi amri ya 6 .. weka neno la Mungu moyoni mwako achana na marafiki.. neno la Mungu linakufundisha nini kuhusu dhambi na uasherati kijana ?.. mwili wako ni hekalu ...kwa nini unataka kugeuza hekalu kuwa pango la wanyaganyi binti.?...../..... jitunze na ni dhambi kufanya ngono vitabu vya Mungu vyote vinakataza .. kemea pepo la ngono usikubali kucheat...
neno la bwana likae kwa wingi moyoni mwako . amen
hiyo gesture kule kwetu inamalizikia na "......ikisu kimaliike abhana bha masiku agha mma bhagwitu!....seeeh!"Aseeeh.....
Nahisi wanaogopa kuingia mkenge! halafu mitandao imewaharibu. kila kitu kimekuwa exposed. Ni shidaa.Wanawake wa leo, zamani walikua wagum kutoa mpaka ndoa saiv wanataka kabla ya ndoa dunia inaisha.
Daa! DJ hataki ku test muziki. anasema hadi wakati wa shughuli ukumbini.In real sense wengi wa namna hiyo ni functionless. Kuna kisa true story jamaa alikataa akisema anataka ndoa takatifu. Binti akamsubiri daa kufunga ndoa kumbe jamaa jogoo lilikuwa haliwiki!! binti kakaa kwenye ndoa wiki mbili hata salaam ya sita kwa sita hakuna kaamua kuchapa lapa!!Ha ha ha, hii kitu lazima ilete maswali, ME anakataaje kugegeda?
Yaani kutakuwa na kasoro tu.
Njoo nikutibu hicho kiunoHabari zenu wana JF,mimi ni msichana ambaye nina mchumba wangu tunakaribia mwaka na nusu sasa katika mahusiano yetu, hatujawai fanya mapenzi ila huko nyuma niliwahi kuwa na mpezi na nikasex nae, tukaachana baada ya kumpata huyu yeye anasema tusigusane hadi, tufunge ndoa, na ni mwaka na nusu sasa, yuko bize sana na biashara zake anasafiri sana, ila mahitaji ya hela vt napewa, sasa hivi nimekuwa nikiumwa kiuno sana, na kuna rafiki yangu nimemuuliza ananiambia ni kutokufanya mapenzi muda mrefu, sasa nmekuja mnishauri jamani, dawa gani naweza tumia kiuno kikapoa, nmemueleza mpenzi wangu ananiambia nimvumilie tuu ,tutafunga ndoa,