Je hili tatizo ni la kutokufanya mapenzi muda mrefu?

We BWENIZ nimekuonya sana usilete mambo ya ndani huku. Subiri ndoa si nimeshaleta Mahari kwenu?
 
USHAURI WANGU MM ACHANA KABISA NA KUOMBA USHAURI HASA KWA MARAFIKI SI WANAUME WALA WANAWAKE WATAKUHARIBIA MAISHA HAWATAKUPA USHAURI SAHIHI ALSO JITAHID KUVUMILIA AU WE SHIDA YAKO SI KUJA KUWA MKE WA MTU SHIDA YAKO NI KUPATA MTU WA KISEX NAE?

HIZO NYEGE ZIWEPO ILA SI TO THAT EXTENT , BE CAREFUL, WATCH IT!
 
Ivi wanawake mnaojielewa na mnajua nn mnachokitaka hapa Tz Kama ww bado wapo ..???czani uko smart sana kichwani dada angu....
 
KIPAPA {hii tungo tata} but nano lako limetulia akiwa na akili akalifuata nadhani hatojuta...mapenzi sio mpaka watu wagusanishe vikojoleo...
 
Hv kuna mwanaume anaemwambia binti wake wasifanyane mpaka ndoa huyo mwanaume sio ridhiki kwa kweli
 
Ivi wanawake mnsojielewa na mnajua nn mnachokitaka Tz Kama ww bado wapo czani uko smart sana dada angu....
hawajielewi wengi amepata mtu hamuombi hapo analalamika .. anakuja kutafuta watu wakumuomba hapo eti ili apone kiuno ... anywe mafuta ya taa.. kuna wanawake wengine wanagongwa huko kila siku anaipeleka kwa ahadi ya ndoa na hakuna cha ndoa wala nini?
 
hawajielewi wengi amepata mtu hamuombi hapo analalamika .. anakuja kutafuta watu wakumuomba hapo eti ili apone kiuno ... anywe mafuta ya taa.. kuna wanawake wengine wanagongwa huko kila siku anaipeleka kwa ahadi ya ndoa na hakuna cha ndoa wala nini?
ajielewi uyo bado..
 
Ni KWELI
 
Acha ubwenzy litatokea duduwasha ambalo hata dalili ya kuoa halina liwashe hicho kiuno then jamaa akishtuka najua anamitego yake anajua anachokifanya so angalia..kosa hili halinaga msamaha kwa 98% ya wanaume wanao subiri ndoa
 
Reactions: wax
Mmh hakuna kufanya nn vile mpk ndoa?! Aiseee ww unataka kuchukua mbuz kwnye gunia. N pale utapokuta show nusu dk kwisha habari... Hahaaa pole sn mwaya, hilo tatizo lako ni vyema ukaenda kuona ma specialist wa wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…