Je hili tatizo ni la kutokufanya mapenzi muda mrefu?

Kabisa Mkuu dunia ya leo ME hakimbii papuchi eti hadi baada ya kufunga pingu za maisha.

Ha ha ha, hii kitu lazima ilete maswali, ME anakataaje kugegeda?

Yaani kutakuwa na kasoro tu.
 
POINT!
 
Daaa! anasema umvumilie na huku kiuno kinakuuma!!! any way napita tu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Wanawake wa leo, zamani walikua wagum kutoa mpaka ndoa saiv wanataka kabla ya ndoa dunia inaisha.
Nahisi wanaogopa kuingia mkenge! halafu mitandao imewaharibu. kila kitu kimekuwa exposed. Ni shidaa.
 
Ha ha ha, hii kitu lazima ilete maswali, ME anakataaje kugegeda?

Yaani kutakuwa na kasoro tu.
Daa! DJ hataki ku test muziki. anasema hadi wakati wa shughuli ukumbini.In real sense wengi wa namna hiyo ni functionless. Kuna kisa true story jamaa alikataa akisema anataka ndoa takatifu. Binti akamsubiri daa kufunga ndoa kumbe jamaa jogoo lilikuwa haliwiki!! binti kakaa kwenye ndoa wiki mbili hata salaam ya sita kwa sita hakuna kaamua kuchapa lapa!!
 
Njoo nikutibu hicho kiuno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…