falcon Q
JF-Expert Member
- Feb 28, 2023
- 972
- 2,569
Habari wadai I hope jtatu iko jema kwenu Nina tatizo ambalo nikiri sijawahi kulisikia kwa mtu yeyote nimeamua kuliweka hapa kama yupo mwenye tatizo kama langu au mwenye ufahamu a share experience yake.
Iko hivi huwa napatwa na shambulio la moyo pindi nking'atwa na nyuki au nyigu (bee & wasps sting) , hili limenianza miaka mingi nyumba mbaka hivi sasa nna 33+ mwanzo nlikua naiona nkishambuliwa na nyuki pekee Ila kwa nyigu haikua inanisumbua huwa napata uvimbe kama waadhirika wengine lakini ajabu in my thirty's shambulio la nyigu halina tofauti na nyuki kwangu
Halina nayokutana nayo ni worse than you can think nkishambuliwa na hawa wadudu huwa haipiti dakika tatu hali yangu hubadilika kwanza huwa nakumbwa na kizunguzungu then napoteza fahamu kwa dakika kadhaa nkizinduka mapigo ya moyo huwa yako juu sana, hua napumua kwa shida na joto la mwili huwa juu sana means huwa natokwa na jasho jingi sana. Pia huwa natapika kiufupi huwa na hali mbaya sana sana than you can think lakini cha ajabu hii hali haidumu kwa mda mrefu ni fujo ya dakika 45 mpaka saa moja then hali hurudi kawaida napabaki na maumivu ya kawaida tu ya kuumwa na mdudu .
Nlijaribu kulifuatilia nkaambiwa ni rare cases mojawapo inaitwa "brugada sydrome" ila sikupima coz hainikuti Mara kwa Mara ni mpaka naposhambuliwa na hawa wadudu tu. Mwenye experience na hili tafadhali naomba u share nijue naanzie wapi maana kadri umri unavyozidi nahisi mwili unaweza kuja kushindwa kuhimili hii hali aksanteni.
Nawasilisha