falcon Q
JF-Expert Member
- Feb 28, 2023
- 972
- 2,569
- Thread starter
- #21
Wewe kwann unakaa mazingira ambayo nyuki wanaishi mimi ni mwaka wa kumi sasa Nyuki hata nimesahau wanamuonekano gani.
Nadhani ungejiweka mbali na nyuki hayo yasingekukuta.
Wewe kwann unakaa mazingira ambayo nyuki wanaishi mimi ni mwaka wa kumi sasa Nyuki hata nimesahau wanamuonekano gani.
Nad
Hahaha duh boss nko mjini hapa hapa kudungwa nami ni Mara chache sana hii niandika nlidungwa na nyigu last week kwa nyuki ofcourse na miaka miwili sijakumbana naoTangu nizaliwe nimeumwa na nyuki si zaidi ya mara saba. Wewe uko wapi huko penye nyuki lukuki hadi udonolewe daily?
Kuna ndugu yangu yupo tabora vijijini lakini hang'atwi nyuki. AU UNAISHI NA NYUKI WA UTAJIRI NDANI?