Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Kwani igizo si kweli?
Hiyo ni content tu bro, watu siku hizi hawana cha kupost kabisa
Pengine ni kweli au la ingawa inaonekana ni issue real world and serious.Kwani igizo si kweli?
Haiwezi kuwa igizo la kweli?
. mmmh ichek vizuri bro unaweza ukamfukuza nyoka kwa njia hiyo kweli.Hiyo ni content tu bro, watu siku hizi hawana cha kupost kabisa
Unaijua "final touch" wewe?. mmmh ichek vizuri bro unaweza ukamfukuza nyoka kwa njia hiyo kweli.
Kaole Sanaa group
Mmmh yeahUnaijua "final touch" wewe?
HatariNi igizo na lengo lao niwewe uamini
Basi huo ni mkono wa wazee wa final touch, ni mambo ya kawaida sana hayo kutengenezwa studioMmmh yeah