Je HIV negative anaweza test viral load na virusi vinaonekana?

cordoba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
686
Reaction score
962
Nahisi nina virusi viko kwenye korodani kila Niki test HIV nakuta Niko negative nikwa muda sasa zaidi ya miaka 8. Toka siku nilivyovipata kwa njia ya unsafe sex nilihisikabisa kuwa vinaniingia kabla tu ya tendo, wataalamu naombeni majibu hapo
 
Kaka virusi sio kama nyungu nyungu kwamba akiingia utaskia akikutambaa. We utakua una vitu vingine tu, by the way ulikua unapiga njia ipi hyo uchafu au ile isiyokubalika
 
Kaka virusi sio kama nungu nungu kwamba akiingia utaskia akikutambaa. We utakua una vitu vingine tu, by the way ulikua unapiga njia ipi hyo uchafu au ile isiyokubalika
Vagina mkuu ,njia pendwa
 
Yaani nimefanya test mara kibao nakuta negative , nimepima FBp full blood picture wanasema na blood infection nimepewa dawa lakini wapi?
 
Nahisi nina virusi viko kwenye korodani kila Niki test HIV nakuta Niko negative nikwa muda sasa zaidi ya miaka 8. Toka siku nilivyovipata kwa njia ya unsafe sex nilihisikabisa kuwa vinaniingia kabla tu ya tendo, wataalamu naombeni majibu hapo
HIV Negative maana yake ni nini?
 
[emoji23] [emoji23][emoji23] eti virusi kwenye Korodani!

Key points:
√ Virusi vimejibanza kwenye korodani tu [emoji23] [emoji23]
√ Kupitia njia ya unsafe sex nilihisikabisa kuwa vinaniingia kabla tu ya tendo. 😀😀 hii Kali!!

Kwahiyo Kwahiyo hapo kwenye Korodani vimejificha kama Nguchiro havitoki au?

Post nyengine badala ya kutoa Msaada basi unaishia kucheka. 😀😀
 
Nahisi nina virusi viko kwenye korodani kila Niki test HIV nakuta Niko negative nikwa muda sasa zaidi ya miaka 8. Toka siku nilivyovipata kwa njia ya unsafe sex nilihisikabisa kuwa vinaniingia kabla tu ya tendo, wataalamu naombeni majibu hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ilivihic vikiniingia kabla ya tendo la ndoa

then vipo kwenye korodani

HIV NEGATIVE
 
Acheni utani plz nahitaji msaada# je HIV negative anaweza patikan na virusi akipima viral load
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23][emoji23] eti virusi kwenye Korodani!

Key points:
√ Virusi vimejibanza kwenye korodani tu [emoji23] [emoji23]
√ Kupitia njia ya unsafe sex nilihisikabisa kuwa vinaniingia kabla tu ya tendo. 😀😀 hii Kali!!

Kwahiyo Kwahiyo hapo kwenye Korodani vimejificha kama Nguchiro havitoki au?

Post nyengine badala ya kutoa Msaada basi unaishia kucheka. 😀😀
 
Viral load haiwezi kuwa detected kama virusi husika havipo. Unapimaje ujazo wa kitu ambacho hakipo?

Back
Top Bottom