Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka virusi sio kama nyungu nyungu kwamba akiingia utaskia akikutambaa. We utakua una vitu vingine tu, by the way ulikua unapiga njia ipi hyo uchafu au ile isiyokubalikaNahisi nina virusi viko kwenye korodani kila Niki test HIV nakuta Niko negative nikwa muda sasa zaidi ya miaka 8. Toka siku nilivyovipata kwa njia ya unsafe sex nilihisikabisa kuwa vinaniingia kabla tu ya tendo, wataalamu naombeni majibu hapo
Vagina mkuu ,njia pendwaKaka virusi sio kama nungu nungu kwamba akiingia utaskia akikutambaa. We utakua una vitu vingine tu, by the way ulikua unapiga njia ipi hyo uchafu au ile isiyokubalika
HIV Negative maana yake ni nini?Nahisi nina virusi viko kwenye korodani kila Niki test HIV nakuta Niko negative nikwa muda sasa zaidi ya miaka 8. Toka siku nilivyovipata kwa njia ya unsafe sex nilihisikabisa kuwa vinaniingia kabla tu ya tendo, wataalamu naombeni majibu hapo
Taratibu...!Kata hizo korodani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahisi nina virusi viko kwenye korodani kila Niki test HIV nakuta Niko negative nikwa muda sasa zaidi ya miaka 8. Toka siku nilivyovipata kwa njia ya unsafe sex nilihisikabisa kuwa vinaniingia kabla tu ya tendo, wataalamu naombeni majibu hapo
[emoji23] [emoji23][emoji23] eti virusi kwenye Korodani!
Key points:
√ Virusi vimejibanza kwenye korodani tu [emoji23] [emoji23]
√ Kupitia njia ya unsafe sex nilihisikabisa kuwa vinaniingia kabla tu ya tendo. 😀😀 hii Kali!!
Kwahiyo Kwahiyo hapo kwenye Korodani vimejificha kama Nguchiro havitoki au?
Post nyengine badala ya kutoa Msaada basi unaishia kucheka. 😀😀
Acheni utani plz nahitaji msaada# je HIV negative anaweza patikan na virusi akipima viral load