Tofautisha Timu ya Yanga na Ligi YetuBaada ya kuona dozi nzito zinatolewa na wananchi ...de Yanga Kwa timu pinzani nimeona nifanye research kidogo Kwa kuwashirikisha ndugu zangu humu
Tujikumbushe...hizi ndizo baadhi ya timu zilizochezea ✋ Kwa Yanga
Simba
Kmc
Ihefu
Je unadhani hivi vichapo vinaashiria Nini kwenye ligi yetu??
Hizi ni hypothesis
1) Timu zote TZ Zina uwezo mdogo Kwa Yanga
2) ligi imekuwa....ila Yanga imekuwa zaidi
3) baadhi y timu TZ hazina quality players
4.) 1 2 3 4 Yote sawa
huna lolote Eti Next level pacome si takataka tu huyo hadi kwenye timu yake ya Taifa hatambulikiTofautisha Timu ya Yanga na Ligi Yetu
Ligi yetu ni kubwa ya tano kwa Afrika; halafu Timu ya Yanga ni Next Level. Kumbuka kuwa ukioambana na Yanga unakuwa unapambana na vitu viwili kwa mpigo: Timu ya Yanga yenyewe na Pacome. Ukiishinda Yanga utakumbana na Pacome ambaye atakupiga, na ukimshinda Pacome basi Yanga inakupiga. Huna pa kutokea!
Kuna Yanga na kuna Pacome. Subiri zamu yako ifike upewe dozi kamili ya 5G na 3G kwa pamoja kwa vile inaonakana 5G pekee haijakuponyesha maradhi yako.huna lolote Eti Next level pacome si takataka tu huyo hadi kwenye timu yake ya Taifa hatambuliki
Umenena fact mkuuTofautisha Timu ya Yanga na Ligi Yetu