Je hizi ndizo sarafu za utajiri? zipo nyingi sehem fulani..

Nasikia zipo nyingi sana huko Kinguryiabashashi
 
Hiyo background kweli unachunga ngombe Na mbuzi
 
ajitokeze niliyemtapeli hapo/hapa nitakua tayari kumrudishia mara nne ya nilicho mtapeli
Acha utapeli kwa kutumia hayo mambo ya Rupia,Huu wizi ni wa kizamani,Ulikuwa unaenda Sambamba ni Mercury,Zamani walikuwa wanawapiga MZAWAZWA,ila baada ya kuwapa ELIMU sasa hawapigwi Hovyo hovyo,tafuta njia nyingine za kujitafutia kipato.

Nakupa Challenge NDOGO tu,Chukua hizo Sarafu ulizozipiga Picha ZIWEKE kwa Pamoja JUU YA GAZETI ONYESHA TAREHE TITLE YA GAZETI JUU YAKE UKIWEKA HIZO SARAFU,UKIFANYA HIVYO NITAKUJA KUFUTA KAULI KAMA WEWE SIO TAPELI.
 
Nilijua nitapata elimu yeyote hapo kwanye hiyo post lakini nimekuta mashambulizi tu:: Mimi kuna Mzee alinifuata juzi kati akaniomba nimtafutie soko la pasi ya zamani ya mjerumani ambayo inadaiwa ina kitu kinaitwa mercury siijui wakuu nimeambiwa nikibaini soko ndiyo nitaonyeshwa,, sasa nilichoona hii Post nikajua nitakuta wadadavuaji wa mambo na mali za kale
 
jombaa mbona umepaniki? hebu mjikusanye wote nilio watapeli mje niwalipe
 
Nilijua nitapata elimu yeyote hapo kwanye hiyo post lakini nimekuta mashambulizi tu:: Mimi kuna Mzee alinifuata juzi kati akaniomba nimtafutie soko la pasi ya zamani ya mjerumani ambayo inadaiwa ina kitu kinaitwa mercury siijui wakuu nimeambiwa nikibaini soko ndiyo nitaonyeshwa,, sasa nilichoona hii Post nikajua nitakuta wadadavuaji wa mambo na mali za kale
nilicho fanya ni kuuliza tu ila negative minds za wadau sasa duuuh zinashangaza
 
Acha utapeli kwa kutumia hayo mambo ya Rupia,Huu wizi ni wa kizamani,Ulikuwa unaenda Sambamba ni Mercury,Zamani walikuwa wanawapiga MZAWAZWA,ila baada ya kuwapa ELIMU sasa hawapigwi Hovyo hovyo,tafuta njia nyingine za kujitafutia kipato.

Nakupa Challenge NDOGO tu,Chukua hizo Sarafu ulizozipiga Picha ZIWEKE kwa Pamoja JUU YA GAZETI ONYESHA TAREHE TITLE YA GAZETI JUU YAKE UKIWEKA HIZO SARAFU,UKIFANYA HIVYO NITAKUJA KUFUTA KAULI KAMA WEWE SIO TAPELI.
hahaha safi sana ..
akiweza kufanya Hivi nahama sasa hivi
 
Nilijua nitapata elimu yeyote hapo kwanye hiyo post lakini nimekuta mashambulizi tu:: Mimi kuna Mzee alinifuata juzi kati akaniomba nimtafutie soko la pasi ya zamani ya mjerumani ambayo inadaiwa ina kitu kinaitwa mercury siijui wakuu nimeambiwa nikibaini soko ndiyo nitaonyeshwa,, sasa nilichoona hii Post nikajua nitakuta wadadavuaji wa mambo na mali za kale
Mkuu huyo mzee bado yupo? Na hiyo pasi bado anayo?
 
Back
Top Bottom