KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Dalili ya kupigwa naiona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha utapeli kwa kutumia hayo mambo ya Rupia,Huu wizi ni wa kizamani,Ulikuwa unaenda Sambamba ni Mercury,Zamani walikuwa wanawapiga MZAWAZWA,ila baada ya kuwapa ELIMU sasa hawapigwi Hovyo hovyo,tafuta njia nyingine za kujitafutia kipato.ajitokeze niliyemtapeli hapo/hapa nitakua tayari kumrudishia mara nne ya nilicho mtapeli
jombaa mbona umepaniki? hebu mjikusanye wote nilio watapeli mje niwalipeAcha utapeli kwa kutumia hayo mambo ya Rupia,Huu wizi ni wa kizamani,Ulikuwa unaenda Sambamba ni Mercury,Zamani walikuwa wanawapiga MZAWAZWA,ila baada ya kuwapa ELIMU sasa hawapigwi Hovyo hovyo,tafuta njia nyingine za kujitafutia kipato.
Nakupa Challenge NDOGO tu,Chukua hizo Sarafu ulizozipiga Picha ZIWEKE kwa Pamoja JUU YA GAZETI ONYESHA TAREHE TITLE YA GAZETI JUU YAKE UKIWEKA HIZO SARAFU,UKIFANYA HIVYO NITAKUJA KUFUTA KAULI KAMA WEWE SIO TAPELI.
nilicho fanya ni kuuliza tu ila negative minds za wadau sasa duuuh zinashangazaNilijua nitapata elimu yeyote hapo kwanye hiyo post lakini nimekuta mashambulizi tu:: Mimi kuna Mzee alinifuata juzi kati akaniomba nimtafutie soko la pasi ya zamani ya mjerumani ambayo inadaiwa ina kitu kinaitwa mercury siijui wakuu nimeambiwa nikibaini soko ndiyo nitaonyeshwa,, sasa nilichoona hii Post nikajua nitakuta wadadavuaji wa mambo na mali za kale
hahaha safi sana ..Acha utapeli kwa kutumia hayo mambo ya Rupia,Huu wizi ni wa kizamani,Ulikuwa unaenda Sambamba ni Mercury,Zamani walikuwa wanawapiga MZAWAZWA,ila baada ya kuwapa ELIMU sasa hawapigwi Hovyo hovyo,tafuta njia nyingine za kujitafutia kipato.
Nakupa Challenge NDOGO tu,Chukua hizo Sarafu ulizozipiga Picha ZIWEKE kwa Pamoja JUU YA GAZETI ONYESHA TAREHE TITLE YA GAZETI JUU YAKE UKIWEKA HIZO SARAFU,UKIFANYA HIVYO NITAKUJA KUFUTA KAULI KAMA WEWE SIO TAPELI.
Mkuu huyo mzee bado yupo? Na hiyo pasi bado anayo?Nilijua nitapata elimu yeyote hapo kwanye hiyo post lakini nimekuta mashambulizi tu:: Mimi kuna Mzee alinifuata juzi kati akaniomba nimtafutie soko la pasi ya zamani ya mjerumani ambayo inadaiwa ina kitu kinaitwa mercury siijui wakuu nimeambiwa nikibaini soko ndiyo nitaonyeshwa,, sasa nilichoona hii Post nikajua nitakuta wadadavuaji wa mambo na mali za kale