Je hizi ni changamoto za miaka ya 30s ama ni matatizo ya kiafya?

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Mimi ni wale tuliozaliwa miaka ya mwishoni mwa awamu ya kwanza ya utawala wa mzee Mwinyi. Kwa maana hizo tumeingia miaka ya 30 ama third floor hivi karibuni.

Mojawapo ya changamoto nazokabiliana nazo ni kuchelewa kukojoa goli la pili, yaani sasa hivi goli la pili kulitafta ni kama ugomvi, yaani itabidi nivute hisia kama nakula mademu tofauti tofauti kama 50 ndio nikojoe. Mara nyingi hua naahirisha kumaliza goli la pili

Hii hali sikua nayo hapo kabla.

Naomba kujua, kwa wale wenzangu mliotangulia kufika ghorofa ya tatu na wale ambao wote tuko ghorofa ya tatu, hii ni tatizo la kiafya ama ndio changamoto za umri zinaanza?
 
Huna tatizo.Endelea na maisha.
 
Kwanini umehusisha umri wako, kwani watu wa umri wako hua na changamoto hiyo??
Halafu miaka 30 mbona ni kijana mdogo kabisa, ushaanza kuzitafuta changamoto za umri daah, watu mnapenda uzee.
 
Ni kawaida, ukishafika ghorofa ya tatu akili inakua na mambo mengi so umakini unakosekana. Usijali, huu ni mwanzo tu, itafika kipindi utakua hata stimu hauna.
 
usijali ni kawaida tu, jitahidi kupata usingizi wakutosha na akili yako itulize kwa mwenzi wako tu. Kama partner wako ni kibonge au anaumbo kubwa inawezekana haziwezi shoo. ukikutana na kipotabo unaweza ukaomba poo. Jua umri wa 30s nikipindi cha ujana na unakua na nguvu zakutosha tu, mm pia inatokea sometimes ni kawaida tu.
 
Mimi ni wale tuliozaliwa miaka ya mwishoni mwa awamu ya kwanza ya utawala wa mzee Mwinyi. Kwa maana hizo tumeingia miaka ya 30 ama third floor hivi karibuni.

Mojawapo ya changamoto nazokabiliana nazo ni kuchelewa kukojoa goli la pili, yaani sasa hivi goli la pili kulitafta ni kama ugomvi, yaani itabidi nivute hisia kama nakula mademu tofauti tofauti kama 50 ndio nikojoe. Mara nyingi hua naahirisha kumaliza goli la pili

Hii hali sikua nayo hapo kabla.

Naomba kujua, kwa wale wenzangu mliotangulia kufika ghorofa ya tatu na wale ambao wote tuko ghorofa ya tatu, hii ni tatizo la kiafya ama ndio changamoto za umri zinaanza?
Maisha ni changamoto sana, mara nyingi binadamu hatujui tunataka nini na nini hatutaki.
Kuna wengine wanalalamika kuwahi kukojoa wengine mnalalamika kuchelewa.
Dah.!
 
Daaaaah .. Tafuta hela kwanxa ndugu. Hayo mambo yapo tu
 
Back
Top Bottom