The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Huna tatizo.Endelea na maisha.Mimi ni wale tuliozaliwa miaka ya mwishoni mwa awamu ya kwanza ya utawala wa mzee Mwinyi. Kwa maana hizo tumeingia miaka ya 30 ama third floor hivi karibuni.
Mojawapo ya changamoto nazokabiliana nazo ni kuchelewa kukojoa goli la pili, yaani sasa hivi goli la pili kulitafta ni kama ugomvi, yaani itabidi nivute hisia kama nakula mademu tofauti tofauti kama 50 ndio nikojoe. Mara nyingi hua naahirisha kumaliza goli la pili
Hii hali sikua nayo hapo kabla.
Naomba kujua, kwa wale wenzangu mliotangulia kufika ghorofa ya tatu na wale ambao wote tuko ghorofa ya tatu, hii ni tatizo la kiafya ama ndio changamoto za umri zinaanza?
Ndio mpendwa tena nasoma kwa umakini sana [emoji23][emoji12]!Asubuhi yote hii
Miss you
😂😂Ndio mpendwa tena nasoma kwa umakini sana [emoji23][emoji12]!
Miss you too dear!
Amen nakwako pia mamy![emoji23][emoji23]
Sawa ..utanihadihia bathi
Thanks..uwe na asubuhi njema
Maisha ni changamoto sana, mara nyingi binadamu hatujui tunataka nini na nini hatutaki.Mimi ni wale tuliozaliwa miaka ya mwishoni mwa awamu ya kwanza ya utawala wa mzee Mwinyi. Kwa maana hizo tumeingia miaka ya 30 ama third floor hivi karibuni.