Je, hizi ni dalili za US kuitambua AFC/M23 kama mshirika?

TX Noran

Senior Member
Joined
Mar 18, 2026
Posts
104
Reaction score
11
Kweli sisasa ni mchezo wa ajabu, usio na rafiki wala adui wa kudumu.

Marekani imewekea vikwazo makampuni ya kichina na ya waasi, hususani kundi la PARECO, lililokuwa likiendesha mgodi wa Rubaya, ambao madini yake ni mhimu wa kampuni za Marekani, kwa mahitaji ya viwanda vya siraha na teknolojia.
Mgodi huu, uliopo mikononi mwa M23, unatoa silimia 15% ya madini haya kimataifa.
 
Majaribu kufikiria US akika na keshi akapambana na M23 , akauchukua mgodi na kuwafurisha moja kwa moja akaanza kuvuna madini🤔🤪🤪
 
Ndio watakuwa wamepelekq Demokrasia pale Congo !!

Mana kuna watu Dini zimewapofusha wanawaona Marekani kama wakombozi kwenye vichwa vyao !!

kumbe Marekani yupo kutafuta Rasilimali popote iwe Africa au kwengineko
kama Venezuela
Iranian
Iraq nk!!
 
Dunia bila ya israhell na marekani ingekua mahala salama zaidi pakuishi
 
Ili mnaowaita makafiri muwachinje sio ISRAEL ni Taifa mtetezi dhidi ya wanajihadi Yani YESU KAUMBA Panya hajasahau na Paka
 
🤣🤣🤣
Kama tunavyo wachinja kule Ukraine au Urusi
Au kama tunavyo wachinja kule mashariki mwa kongo
Au kama tulivyoanza kuwachinja sasa hv kule tigray
Au kama tulivyokua tunawachinja chini ya Hitler
Ukija ujue na hoja sio vioja
 
Majaribu kufikiria US akika na keshi akapambana na M23 , akauchukua mgodi na kuwafurisha moja kwa moja akaanza kuvuna madini🤔🤪🤪
Kwani hayo madini unadhani yanaenda wapi? Ulisikia plan ya kujenga reli ielekeao Angola, si kwa ajili ya kuyasafilisha? Kwa sasa, Kampuni ya Marekani yenye makao makuu jijini Kigali-Rwanda, ndio inayosafisha hayo madini na kuyapeleka Marekani. Kwa hiyo, M23 ni mchimbaji, mteja ni huyo huyo
 
Back
Top Bottom