Majaribu kufikiria US akika na keshi akapambana na M23 , akauchukua mgodi na kuwafurisha moja kwa moja akaanza kuvuna madini🤔🤪🤪Kweli sisasa ni mchezo wa ajabu, usio na rafiki wala adui wa kudumu.
Marekani imewekea vikwazo makampuni ya kichina na ya waasi, hususani kundi la PARECO, lililokuwa likiendesha mgodi wa Rubaya, ambao madini yake ni mhimu wa kampuni za Marekani, kwa mahitaji ya viwanda vya siraha na teknolojia.
Mgodi huu, uliopo mikononi mwa M23, unatoa silimia 15% ya madini haya kimataifa.
Ndio watakuwa wamepelekq Demokrasia pale Congo !!Majaribu kufikiria US akika na keshi akapambana na M23 , akauchukua mgodi na kuwafurisha moja kwa moja akaanza kuvuna madini🤔🤪🤪
Ili mnaowaita makafiri muwachinje sio ISRAEL ni Taifa mtetezi dhidi ya wanajihadi Yani YESU KAUMBA Panya hajasahau na PakaDunia bila ya israhell na marekani ingekua mahala salama zaidi pakuishi
🤣🤣🤣Ili mnaowaita makafiri muwachinje sio ISRAEL ni Taifa mtetezi dhidi ya wanajihadi Yani YESU KAUMBA Panya hajasahau na Paka
Kwani hayo madini unadhani yanaenda wapi? Ulisikia plan ya kujenga reli ielekeao Angola, si kwa ajili ya kuyasafilisha? Kwa sasa, Kampuni ya Marekani yenye makao makuu jijini Kigali-Rwanda, ndio inayosafisha hayo madini na kuyapeleka Marekani. Kwa hiyo, M23 ni mchimbaji, mteja ni huyo huyoMajaribu kufikiria US akika na keshi akapambana na M23 , akauchukua mgodi na kuwafurisha moja kwa moja akaanza kuvuna madini🤔🤪🤪
100%. Kuna kampuni ya wamarekani inayouziwa hayo madini, inayapeleka Kigali kusafishwa, af yanasafirishwa kwenda USUtakuta wao US ndio wafadhili