Je, hizi ni OFFSIDE au ni hujuma?

Je, hizi ni OFFSIDE au ni hujuma?

Ki-kabumbu kabisa na kama tungekuwa na VAR, ni magoli halali kabisa, HAKUNA offside yoyote ile, hata kama FIFA wataongeza sheria na kanuni leo, bado hazitagusa hayo magoli kuwa ni offside.

Mimi si shabiki wa UTO.
 
Kwa mayele alikuwa on side Ila ya pili ni clear off side
Ova
 
Gongowazi vipi tena ? Maji yameanza kuzidi unga ? Ndio kwanza game mbili zimechezwa, mnaanza kumtafuta mchawi🤣
 
Pamoja na kuwa ni mwanachama na shabiki lialia wa Yanga ila siwezi kusema ni hujuma....Sina ushahidi huo.....

Ila.....

Kiukweli bao moja halikuwa la kuotea.....hebu vuta picha ikiwa ndilo goli hilohilo moja hususani mwisho wa hizi "marathon" khaa😳😳😳

My take:

CHONDECHONDE WAAMUZI WETU ONGEZENI UMAKINI UWANJANI


Ninawatakia kila la heri ,amen🙏
 
Mimi ni simba ila magoal yote ni onside, waamuzi wetu uwezo mdogo
 
Wakati mwengine mtumie akili mueke ushabiki pembeni! La pi ni offside la kwanza ndio sio
Yote sio offside mkuu, unalosema wewe kuwa ni offside embu angalia wakati pasi inapigwa kupewa tena makambo, kuna beki yupo upande wa pili ambaye alikuwa mbele ya Yusuph Athuman. Huyu beki ukimtazama eneo alilokuwepo ameiua offside position ya makambo kwavile yeye ndiye yuko mbele zaidi ya washambuliaji wa Yanga
 
Huyo kibendera ukimuona tu, unajua kabisa amekaa kimchongo kabisa
 
Back
Top Bottom