Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!.

Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!.

Private sector zinaendelea na kupata faida bila hiyo wandering management.Mo Dewji hawaendi kila na mahali na kushtukiza,hata Bakhresa lakini wanafikia malengo walijiwekewa.Tanzania tuna mfumo bora mno ambao unahitaji just a small push na mambo yaende.Chini kabisa ni mtaa au kitongoji ambacho kina mwenyekiti,kuna kijiji ambacho kina serikali,kuna kata,tarafa,wilaya na mkoa na kote serikali imefika.Na kuhakikisha kuwa kuna effective mechanism ya accountability.
Mkapa aliinyosha nchi na kujenga uchumi bila kushtukiza.
Kwenye private sector kuna nidhamu. Hiyo mnayoita nidhamu ya uoga. Lakini ni nidhamu tu.
 
Sioni alichokifanya kibaya. Kila sehemu ni sehemu yake ya kazi. Atakuwa alikuwa na taarifa fulani fulani kuhusu terminal one na ndege ndogondogo. Ingwa wakati wa maelezo yake alionekana kutaja viwanja vingi nchini lakini kikubwa ilikuwa ndege ndogo. Walioko pale waelewe kuwa tayari kaanzisha utaratibu mpya wa ukaguzi wa ndege ndogo. Kingine ni uongo wa maofisa wetu. Hakukuwa na sababu ya wale maofisa kusema uongo. Ndio maana alisisitiza kuhusu umuhimu wa kusema ukweli.
Ninachikiona kwa ujumla ni ufuatiliaji baada Rais kufanya jambo. Ni wajibu wa wanaohusika kuangalia namna gani wataweka utaratibu wa ukaguzi wa abiria wa ndani. Wahalifu wakijua hilo wataigipa kidogo. Nilitumaini Rais alipoagiza vitanda vipelekwe muhimbili ningetazamia hospitali za nchi nzima zifanyiwe juhudi za kupata vitanda na vitendea kazi.
 
Wewe unaita Ze comedy lakini wataalam wa masuala ya Management watakiona kinachofanyika ni serious stuff.

Kinachofanywa na Rais Mgufuli wataalam wa masuala ya management wanaita management by wandering around ambayo mwasisi wake alikuwa Rais wa America, Abraham Lincoln wakati wa American civil war.

Tofauti yake ni kuwa, hii style ya management ilifanywa na Rais Abraham Lincoln wakati Marekani ikiwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe wakati Tanzania tuko kwenye vita dhidi ya ufisadi, uvivu, wezi, rushwa na ubadhilifu wa mali za umma.

Kwa msaada zaidi kama hufahamu maana ya Management by wandering around unaweza kusoma kitabu kinachoitwa, In Search of Excellence: Lessons From America's Best-Run Companies kilichoandikwa na wataalam wa masuala ya management ambao wanaitwa Tom Peters na Robert H. Waterman.

Haishangazi kusoma hoja kama hizi kwa sababu kuna wengine pia walipoambiwa dunia ni oblate spheroid walicheka na kusema hiyo ni Ze comedy.

Kuna wengine walipoambiwa unaweza ukaiba wanyama twiga wazima Tanzania na kuwasafirisha nje ya nchi kupitia kwenye uwanja wa ndege wa kimataifaTanzania, walicheka na kusema hiyo ni the comedy.

Kinachofanywa na Rais Magufuli ni kugawa shock therapy kwenye management na watazamaji kama huyu mleta mada ambao kwa mabandiko yao wanaonekana hawakuwahi kushuhudia style ya management by wandering around.
Wewe una utaalamu gani wa Management? Au ni wataalamu gani hao.Kwenye theory ipi ya management? Unaona sasa....

Hicho kitabu "In Search of Excellence ,A lesson From Americas Best-Run Companies" Cha Robert Waterman na Tom kiliandikwa karibia miongo mitatu iliyopita,1980s.

Nimekisoma na wewe ni aidha hujakisoma au umekisoma hujakielewa.

Yeye Mwenyewe alisema System and structures are the only tools for organizational Change. Acha uongo kisome tena au kama huna nakala nikuazime ukisome tena.Hakuna anachofanya Magufuli kinachofanana na hicho au anafanya in a twisted way

Nirudi kwenye mada sasa,

Mkuu Pasco,

Jana niliwaambia kwenye ule uzi waliokuja nao kwa Mbwembwe wakasema nina wivu ninamkejeli Rais

Hakuna Leadership Style ya Namna hii iliyowahi kufanikiwa Duniani

Hata Kim Jong-Un wa Korea ya Kaskazini anafanya vizuri zaidi ya hivi anavyofanya

Rais anafanya kazi ya Meneja wa uwanja wa Ndege au Security Manager

Tunahitaji atengeneze Chain of accountability.Ndio mfumo wa kitaasisi

Anavyofanya hivi akiwa hayupo watu wataanza kumtafuta Magufuli mwingine

Cha ajabu kuna wasomi(Sijui kama ni wasomi wenye viwango vya ukwelikweli) wanashabikia kama mazuzu.Hawana tofauti na wale walioenda Loliondo na wale walioliwa kwenye Upatu wa DECI

Rais anatangaza kutoa amri ya kuzuia kuagiza sukari wanashangilia "weweeee ...wewe ndio Jembe letu.Hakuna kama wewe.Yaani weee ndio Sokoine uliyefufuka"

Baada ya Mwezi Sukari hakuna au iliyopo inauzwa 3000-4000 .Wanakaa kimya

Rais anatoa Tamko kuwa "tutaagiza sukari Tani 70,000 kutoka nje .

Watu walewale wanashangilia weweeee.Wewe ndio mkombozi wetu,Wewe ni mchapakazi .Kweli nchi ilikua imeoza sasa unawanyoosha.Wewe huna tofauti na Nyerere"

Hawa ndio watakaokushambulia katika huu uzi

Kuna ule utafiti wa Nottingham University kuwa tu vinara wa unafiki Duniani bado unaendeleea kudhihirika

Kuna ule wa PEW Research kuwa Tunaongoza kwa kuamini katika Miujiza,Ushirikina duniani.Siwezi kuupinga maana hata hapa tunaamini katika Muujiza wa Magufuli kama Magufuli kushinda hata muujiza ambao ungeletwa na Rasimu ya Katiba ya Warioba au hata chain of accountability ambayo ingejengwa.Tunaamini muujiza wa Rais kuwa kila mahali kufanya kila shughuli

Kwa fikra na imani hizi kwanini tusichanjwe chale kwa waganga wa kienyeji au kutapeliwa makanisani.Kwanini tusifurike Loliondo na kuachana na tabibu za kisayansi mahospitalini(Hata Magufuli aliamini na akapata uzoefu kule na anapita njia ile ile ya Babu kwa kuwa watanzania ni wale wale walofurika kwa babu),Kwa nini DECI wasivune fedha nyingi kwetu ?

Nyerere alisema adui mkubwa kwetu ni ujinga.Ukimshinda tu umeshinda umaskini,Maradhi na hata ufisadi maana maadili yatakuwepo na uwezo wa kuwajibishana utakuwepo kwa kuwa hata ethics and principles of good governance zitakuwepo.

Ukute Rais kafanya tukio lile kupotezea sekeseke aliloliunda mwenyewe la Sukari na sakata la Lugumi. Kama kawaida watu wapo "Weweee huyu ndio Jembe,Hakuna kama wewe.UKAWA sidhani kama wangeweza hivi"

Halafu Sukari ni 3000 ,Asubuhi kama ya Leo wanaamka alfajiri zaidi ili kuikwepa familia na kujifanya kuwahi kwenye shughuli.
 
Kila alipotembelea sehemu ali-kuta mandhari safi, majengo yamepakwa rangi nk. Siku moja alipotembelea sehemu akakuta mandhari safi lakini akakuta harufu kali ya rangi. Aliwahoji na kubaini huwa anadanganywa. Huyo alikuwa Mwl. Nyerere kwa wanaokumbuka. Ziara hizi za Magu zinabaini ukweli na kuondoa unafiki huu na pia kuwafanya watu kuanzia mawaziri hadi w/kazi kuamka. Namuunga mkono Magu. Hii ni sms sent and delivered kwa w/kazi wote wa serikali. Na hapa ndo tunaona umuhimu wa camera, Lazima tuone tuliyemwajiri anafanya nini.
 
Hongera Magufuli Ila Kazi Ulioifanya ni Ya Kiranja wa Nidhamu na Sio Mkuu wa Shule:
a)Umepata Media Attention ya 70% Kwa Wale Ambao Hushangiria Chochote Ufanyacho,Ila 30% ya Waelevu Tunakuondolea Heshima Kwani Hufuati Utaratibu
b)Mkuu wa Shule Anapo Kimbizana na Wanafunzi Wake Uku Makamu Yupo,Mtaaluma Wake Yupo na Mwalimu wa Nidhamu Yupo,ni Jambo la Kusikitisha!Hawaamini Subordinates!?Hao Wanafunzi nao Watakariri Kuwa Shuleni Hapo The Top Dog ni Mkuu!Na Waalimu Wasioshirikishwa nao Watazira!Mkuu Akiwepo Usafi,Nidhamu na Taaluma Safi...Akigeuza Mgongo Everything Turn into Shambles!Mwalimu Baki Akiongea Wanafunzi Wanamng'ong'a...Wanamjua Mwenye Shule!Nao Walimu Wakizira Shule Itaenda?Aya Wanafunzi Wakiwa na Shida Na Wakienda Kwa Walimu Baki,na Wanaenda Tu Kwa Kuwa Tu Mwenye Shule Hayupo,Hawa Walimu nao Kwa Jeuri Wakijibu "Mumusubirie Mkuu wa Shule" Watakuwa Wanakosea?
c)Mkuu wa Shule Kuonekana Kila Siku Shuleni na Kuhutubia Parade Kunapunguzia U-extraordinary wako!Na Wanafunzi Hufikiri Hili Mtu Kuwa Mkuu wa Shule ni Lazima Uwe Na Akili Kushinda Wa Chini Yako!Nadhani Ndio Maana Hujaribu Hata Kupeleleza Kiwango cha Elimu cha Mkuu na Kulinganisha na Walimu Wengine!Sasa Kama Hakuna Tofauti Kati Mkuu Anayepayukiana na Wanafunzi Kila Uchwao na Yule Babu Mpishi Kule Jikoni,Heshima Itatoka Wapi?
d)The More People See You,The Less Important Yo Become And The More Common They Will View!
e)HIVI MPAKA SASA,KUNA TOFAUTI GANI KATI YA MAGUFULI NA KIRANJA WA NIDHAMU?
 
Mkuu Pasco huyu jamaa wa kukurupuka tayari nchi imeshamshinda na kwa kuwa ni mtu asiyeshaurika kwa kujiona anajua kila kitu basi nchi ndiyo inazidi kwenda mrama. Mama Samia kishaanza kumpinga kinamna na huku kukurupuka kwake (Kutumbua majipu)

Samia awataka waiga utumbuaji kutenda haki


Ndani ya miezi 6 magu kachemka vibaya sana, now naona hata watumishi hawamwogopi tena washamwona ni debe tupu, kuna siku atatolewa uvivu mbele ya camera
 
Wewe una utaalamu gani wa Management? Au ni wataalamu gani hao.Kwenye theory ipi ya management? Unaona sasa....

Hicho kitabu "In Search of Excellence ,A lesson From Americas Best-Run Companies" Cha Robert Waterman na Tom kiliandikwa karibia miongo mitatu iliyopita,1980s.

Nimekisoma na wewe ni aidha hujakisoma au umekisoma hujakielewa.

Yeye Mwenyewe alisema System and structures are the only tools for organizational Change. Acha uongo kisome tena au kama huna nakala nikuazime ukisome tena.Hakuna anachofanya Magufuli kinachofanana na hicho au anafanya in a twisted way

Nirudi kwenye mada sasa,

Mkuu Pasco,

Jana niliwaambia kwenye ule uzi waliokuja nao kwa Mbwembwe wakasema nina wivu ninamkejeli Rais

Hakuna Leadership Style ya Namna hii iliyowahi kufanikiwa Duniani

Hata Kim Jong-Un wa Korea ya Kaskazini anafanya vizuri zaidi ya hivi anavyofanya

Rais anafanya kazi ya Meneja wa uwanja wa Ndege au Security Manager

Tunahitaji atengeneze Chain of accountability.Ndio mfumo wa kitaasisi

Anavyofanya hivi akiwa hayupo watu wataanza kumtafuta Magufuli mwingine

Cha ajabu kuna wasomi(Sijui kama ni wasomi wenye viwango vya ukwelikweli) wanashabikia kama mazuzu.Hawana tofauti na wale walioenda Loliondo na wale walioliwa kwenye Upatu wa DECI

Rais anatangaza kutoa amri ya kuzuia kuagiza sukari wanashangilia "weweeee ...wewe ndio Jembe letu.Hakuna kama wewe.Yaani weee ndio Sokoine uliyefufuka"

Baada ya Mwezi Sukari hakuna au iliyopo inauzwa 3000-4000 .Wanakaa kimya

Rais anatoa Tamko kuwa "tutaagiza sukari Tani 70,000 kutoka nje .

Watu walewale wanashangilia weweeee.Wewe ndio mkombozi wetu,Wewe ni mchapakazi .Kweli nchi ilikua imeoza sasa unawanyoosha.Wewe huna tofauti na Nyerere"

Hawa ndio watakaokushambulia katika huu uzi

Kuna ule utafiti wa Nottingham University kuwa tu vinara wa unafiki Duniani bado unaendeleea kudhihirika

Kuna ule wa PEW Research kuwa Tunaongoza kwa kuamini katika Miujiza,Ushirikina duniani.Siwezi kuupinga maana hata hapa tunaamini katika Muujiza wa Magufuli kama Magufuli kushinda hata muujiza ambao ungeletwa na Rasimu ya Katiba ya Warioba au hata chain of accountability ambayo ingejengwa.Tunaamini muujiza wa Rais kuwa kila mahali kufanya kila shughuli

Kwa fikra na imani hizi kwanini tusichanjwe chale kwa waganga wa kienyeji au kutapeliwa makanisani.Kwanini tusifurike Loliondo na kuachana na tabibu za kisayansi mahospitalini(Hata Magufuli aliamini na akapata uzoefu kule na anapita njia ile ile ya Babu kwa kuwa watanzania ni wale wale walofurika kwa babu),Kwa nini DECI wasivune fedha nyingi kwetu ?

Nyerere alisema adui mkubwa kwetu ni ujinga.Ukimshinda tu umeshinda umaskini,Maradhi na hata ufisadi maana maadili yatakuwepo na uwezo wa kuwajibishana utakuwepo kwa kuwa hata ethics and principles of good governance zitakuwepo.

Ukute Rais kafanya tukio lile kupotezea sekeseke aliloliunda mwenyewe la Sukari na sakata la Lugumi. Kama kawaida watu wapo "Weweee huyu ndio Jembe,Hakuna kama wewe.UKAWA sidhani kama wangeweza hivi"

Halafu Sukari ni 3000 ,Asubuhi kama ya Leo wanaamka alfajiri zaidi ili kuikwepa familia na kujifanya kuwahi kwenye shughuli.
Well said!!
Ni Rais wetu tupende tuspende lakini tunajaribu kuzindua ajenge mfumo unaofanya kazi.Yeye ni binadamu kame wengine na wala hawi malaika kwa kuupata U rais.Autumie ujasiri wake kutujengea mfumo ambao hata akiondoka kesho kwa kupenda au kutopenda aliyoyatamani kufanyika yaendelee kufanyika.
Mungu ampe ujasiri wa kuweza kuweka mfumo na kuusimamia!!
 
Pasco lets be serious, hivi ile hali ya jana uliiona ipo sawa kabisa?, wewe umesafiri elsewhere ona airports za wenzetu, there is always maximum security, sasa kwa yale majibu ya wale watendaji wa jana kweli are we serious, overhaul inahitajika mara moja, issue ya usalama lazima ipewe kipaumbele, Na tusitetee wazembe wa namna ile by any standard.
 
Wewe unaita Ze comedy lakini wataalam wa masuala ya Management watakiona kinachofanyika ni serious stuff.

Kinachofanywa na Rais Mgufuli wataalam wa masuala ya management wanaita management by wandering around ambayo mwasisi wake alikuwa Rais wa America, Abraham Lincoln wakati wa American civil war.

Tofauti yake ni kuwa, hii style ya management ilifanywa na Rais Abraham Lincoln wakati Marekani ikiwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe wakati Tanzania tuko kwenye vita dhidi ya ufisadi, uvivu, wezi, rushwa na ubadhilifu wa mali za umma.

Kwa msaada zaidi kama hufahamu maana ya Management by wandering around unaweza kusoma kitabu kinachoitwa, In Search of Excellence: Lessons From America's Best-Run Companies kilichoandikwa na wataalam wa masuala ya management ambao wanaitwa Tom Peters na Robert H. Waterman.

Haishangazi kusoma hoja kama hizi kwa sababu kuna wengine pia walipoambiwa dunia ni oblate spheroid walicheka na kusema hiyo ni Ze comedy.

Kuna wengine walipoambiwa unaweza ukaiba wanyama twiga wazima Tanzania na kuwasafirisha nje ya nchi kupitia kwenye uwanja wa ndege wa kimataifaTanzania, walicheka na kusema hiyo ni the comedy.

Kinachofanywa na Rais Magufuli ni kugawa shock therapy kwenye management na watazamaji kama huyu mleta mada ambao kwa mabandiko yao wanaonekana hawakuwahi kushuhudia style ya management by wandering around.
Management by objective (MBO) ingetumika sasa hivi ingeleta tija sana mshaurini a change gear
 
Pasco habari unayoieleza ni bias.
Wewe kama mwandishi nguli nilitegemea story iwe na maelezo yanayohusu pande mbili, yaani tabia ya ziara za kushtukiza za Rais Magufuli na impacts zake kama ulivyoeleza, na madhara au tabia za watumishi kusema uongo.
Sheria ya utumishi inasemaje kwa mtumishi kusema uongo? Nini madhara ya mtumishi kua muongo kazini kwa tija ya taifa?
Nashauri unapoandika makala ulenge manufaa ya pande mbili na si vinginevyo.
Makala yako imelenga kumkosoa Rais Magufuli, lakini aliemdanganya yuko sawa si Ndio!

Kwangu mimi napenda ziara ya mtindo wa kushtukiza kwa baadhi ya taasisi za umma, kwani Rais hupata picha ya kinachofanyika daily. Lakini angewaambia anakuja wangefix na business as usual ingeendelea.
Pia pasco ulitakiwa utueleze hasara iliyopatikana serikalini kwa scanner hiyo kutofanya kazi kwa huo muda.
Jambo jema tusione haya kulisemea, Lakini mada fupi fupi zenye lengo la kufifisha juhudi za mheshimiwa Rais Magufuli kuleta nidhamu kwa watumishi hapana.

Mwisho, kwa mtumishi yeyote anaefanya kazi kwa uaminifu na weledi bila makando kando woga wa ziara za kushtukiza haziwezi kumjengea hofu kwani anauhakika na anachokifanya, woga utoke wapi?
Watumishi wazembe ziara hizo ndo mahali pake. Aendelee tu bila kukoma.
Mbona kila siku kwenye vyombo vya habari tunasikia kina Obama, Holland na wengine wengi Kuna maeneo wanafanya ziara za kushtukiza? Nchi hizo ni kama Iraq, Africa ya kati, etc.
Mwacheni magufuli awatumbue!
 
Back
Top Bottom