hakuna nidhamu ya woga kwenye private sector.kuna nidhamuKwenye private sector kuna nidhamu. Hiyo mnayoita nidhamu ya uoga. Lakini ni nidhamu tu.
kwani kina nani wameficha sukari?Nani mwoga,Pasco. Wale watu walioficha sukari wanamuogopa nani?
Wakuu naamini kuuliza si ujinga, Kwa wale wataalamu wa maswala ya vyombo vya habari, nigependa kufahamu, Je viongozi wetu mfano Raisi, Mawaziri, Wakuu wa mikoa/wilaya n.k. Wanapofuatana na kamera kwa ziara hizi za kushitukiza ni bure au serikali inaingia gharama?
Maajabu ya Mussa....kwa nini asingempigia katibu Mkuu au waziri badala ya kuongea na junior staff tena kwenye makamera?mawaziri wake wanajisikiaje? Hoja ya lissu ya instrument za mawaziri inapata nguvu,hoja ya lissu kwamba nchi inaongozwa na mtu mmoja kama Mali yake binafsi inapata nguvu
Ndio!, nidhamu ya woga Ni kutimiza wajibu wako pale Tu mabosi wako wanapokuwa eneo lako la kazi, wakiondoka usanii unaendelea, sasa faida yake nin nini?, bora kutokuwa Na nidhamu kabisa ili tunapofanya maamuzi tujuwe upana wa wigo wetu kwa mfano ulioutoa Kuna faida gani kun'golewa jino Na ganzi viongozi wakubwa wakiwepo Na wasipokuwepo ganzi inatumika kwa maslahi ya akina fulani Tu,Kwa hiyo ni afadhali ukose huduma hospitalini (mfano) kwa sababu kuna mkubwa mmoja ameamua kuuza dawa kwa kuwa haogopi?
Kama una hisi unaogopa acha kazi.Wanabodi,
Naendelea na zile mada zangu za kusisitiza ukweli, ukiwa mkweli, ukweli utakuweka huru!. Hili ni swali, "Jee Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga?!. Jee, Kutasaidia?!.
Hiki nilichokishuhudia leo Eapoti jamani sio!. Tufike mahali watu wanaommudu, wamshauri, that is not the right way.
Leo nimemshuhudia ngosha pale eapoti anavyo waterorize wale maofisa pale!, tangu lini domestic arrival wanapita kwenye scanner?!, akashauri eti kwa nini nao wasizungukie pale kwenye scanner za depature ndipo waingie nchini!, kiukweli watu wenye akili zao, wanaanza kumuona huyu jamaa kama sio!, kiukweli ule ni terorising!, nitamshauri yule kaimu, vitu vingine viishie kwenye habari tuu na sio kuleta kipindi maalum wakidhani wanamjenga kumbe ndio wana mdhalilisha bure!, na jamaa anavyopenda masifa mbele ya kamera, kiukweli huu ushamba wa kabila langu sometimes unanchekesha!.
Nasisitiza naunga mkono kinachofanyika kuisafisha serikali yetu na madudu yaliyokithiri, the man is doing the right thing but in a wrong way!. Every human being needs dignity!. Pomoja na yote jamani, ka human dignity kawepo, na sio huu udhalilishaji mbele ya kamera halafu wanausha kipindi maalum!. Please wajemeni!.
Namshukuru sana Mzee wa kutumbua, leo kashtukiza lakini hakutumbua zile za papo kwa papo, labda sauti zetu zinaanza kusikika and to make sense, ila kufuatia nidhamu ya woga na kujikombakomba, mnaweza kushuhudia utumbuaji majipu ukifuatia ziaa hii pale Eapoti leo Jumamosi, au siku ya Jumatatu, kisa jamaa kapita pale kashuhudia na kadanyanywa!.
Tanzania inachohitaji sasa sio one man show, na movie za ze comedy!, tunahitaji kujenga mifumo, systems, kama hakuna scanner kwenye arrival zote duniani, bali kuna declaration forms, kila mzigo unaofikia arrival ulikuwa scanned kule ulikotoka na ukawa cleared ni majangili mataahira tuu ndio watauwa tembo wetu kisha wabebe pembe za ndovu kuingia nazo arrival! wakati mipaka yetu yote ni very porous!. Vitalu vyote vya uwindani vina private air strips midege inaingia na kutua na kujichukulia chochote na kuishia zao juu kwa juu, kwa kisingizio ni vitalu vya uwindaji!, ni kichaa tuu mwenye uwezo wa kutua porini kubeba nyara na kuja nazo arrival!.
Kila ndege kabla haijaingia Tanzania lazima ipate clearance toka TCAA, tuweke watu kwenye every private air stripe na kujenga mfumo toka TCAA kuwa hakuna ndege itakuwa cleared kutua kwenye shamba la bibi, bila bibi kutuma mjukuu ashuhudie hiyo ndege imeleta nini, na hakuna clearance kupaa hadi mjukuu athibitishe imebeba nini!.
Kiukweli hii ya leo kwangu ilikuwa Ze Comedy!, hatuwezi kwenda hivi jamani!.
Namalizia kwa lile swali la msingi, "Jee Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!".
Nawatakia Jumamosi Njema.
Pasco
Kuna uwendawazimu wa baadhi ya watanzania kushawishi tumuamini mtu mmoja katikati ya uendelevu wa mfumo mbovu kwa sababu tu anasema:- "Nina nia ya dhati...., mniombee!".Kama umenielewa nimesema nataka raisi Magufuli aweke misingi ambayo hata akikaa ofisini au yuko nyumbani na mama yetu Janet, huku chini kila mtu anatimiza wajibu. Asiye timiza wajibu na mwenye nidhamu ya woga anatumbuliwa huko huko na mkubwa wake. Hii itamsaidia sana raisi na misingi hii iko kwenye katiba ya Warioba
We mpuuzi tulia dawa ikuingie .Wanabodi,
Naendelea na zile mada zangu za kusisitiza ukweli, ukiwa mkweli, ukweli utakuweka huru!. Hili ni swali, "Jee Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga?!. Jee, Kutasaidia?!.
Hiki nilichokishuhudia leo Eapoti jamani sio!. Tufike mahali watu wanaommudu, wamshauri, that is not the right way.
Leo nimemshuhudia ngosha pale eapoti anavyo waterorize wale maofisa pale!, tangu lini domestic arrival wanapita kwenye scanner?!, akashauri eti kwa nini nao wasizungukie pale kwenye scanner za depature ndipo waingie nchini!, kiukweli watu wenye akili zao, wanaanza kumuona huyu jamaa kama sio!, kiukweli ule ni terorising!, nitamshauri yule kaimu, vitu vingine viishie kwenye habari tuu na sio kuleta kipindi maalum wakidhani wanamjenga kumbe ndio wana mdhalilisha bure!, na jamaa anavyopenda masifa mbele ya kamera, kiukweli huu ushamba wa kabila langu sometimes unanchekesha!.
Nasisitiza naunga mkono kinachofanyika kuisafisha serikali yetu na madudu yaliyokithiri, the man is doing the right thing but in a wrong way!. Every human being needs dignity!. Pomoja na yote jamani, ka human dignity kawepo, na sio huu udhalilishaji mbele ya kamera halafu wanausha kipindi maalum!. Please wajemeni!.
Namshukuru sana Mzee wa kutumbua, leo kashtukiza lakini hakutumbua zile za papo kwa papo, labda sauti zetu zinaanza kusikika and to make sense, ila kufuatia nidhamu ya woga na kujikombakomba, mnaweza kushuhudia utumbuaji majipu ukifuatia ziaa hii pale Eapoti leo Jumamosi, au siku ya Jumatatu, kisa jamaa kapita pale kashuhudia na kadanyanywa!.
Tanzania inachohitaji sasa sio one man show, na movie za ze comedy!, tunahitaji kujenga mifumo, systems, kama hakuna scanner kwenye arrival zote duniani, bali kuna declaration forms, kila mzigo unaofikia arrival ulikuwa scanned kule ulikotoka na ukawa cleared ni majangili mataahira tuu ndio watauwa tembo wetu kisha wabebe pembe za ndovu kuingia nazo arrival! wakati mipaka yetu yote ni very porous!. Vitalu vyote vya uwindani vina private air strips midege inaingia na kutua na kujichukulia chochote na kuishia zao juu kwa juu, kwa kisingizio ni vitalu vya uwindaji!, ni kichaa tuu mwenye uwezo wa kutua porini kubeba nyara na kuja nazo arrival!.
Kila ndege kabla haijaingia Tanzania lazima ipate clearance toka TCAA, tuweke watu kwenye every private air stripe na kujenga mfumo toka TCAA kuwa hakuna ndege itakuwa cleared kutua kwenye shamba la bibi, bila bibi kutuma mjukuu ashuhudie hiyo ndege imeleta nini, na hakuna clearance kupaa hadi mjukuu athibitishe imebeba nini!.
Kiukweli hii ya leo kwangu ilikuwa Ze Comedy!, hatuwezi kwenda hivi jamani!.
Namalizia kwa lile swali la msingi, "Jee Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!".
Nawatakia Jumamosi Njema.
Pasco
Maajabu ya Mussa....kwa nini asingempigia katibu Mkuu au waziri badala ya kuongea na junior staff tena kwenye makamera?mawaziri wake wanajisikiaje? Hoja ya lissu ya instrument za mawaziri inapata nguvu,hoja ya lissu kwamba nchi inaongozwa na mtu mmoja kama Mali yake binafsi inapata nguvu
Bwana pasco naheshimu sana mada zako.Lakini kwa jana naona Mheshimiwa alikuwa sawa kabisa.kumbuka nyara kukamatiwa Uswiss toka JKNIA, Kwa hiyo kila kitu kinawekana ktk nchi hii.Nafikiri bila kujua sisi wananchi nchi ilibinafusishwa. Tena bila tenda.Wanabodi,
Naendelea na zile mada zangu za kusisitiza ukweli, ukiwa mkweli, ukweli utakuweka huru!. Hili ni swali, "Jee Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga?!. Jee, Kutasaidia?!.
Hiki nilichokishuhudia leo Eapoti jamani sio!. Tufike mahali watu wanaommudu, wamshauri, that is not the right way.
Leo nimemshuhudia ngosha pale eapoti anavyo waterorize wale maofisa pale!, tangu lini domestic arrival wanapita kwenye scanner?!, akashauri eti kwa nini nao wasizungukie pale kwenye scanner za depature ndipo waingie nchini!, kiukweli watu wenye akili zao, wanaanza kumuona huyu jamaa kama sio!, kiukweli ule ni terorising!, nitamshauri yule kaimu, vitu vingine viishie kwenye habari tuu na sio kuleta kipindi maalum wakidhani wanamjenga kumbe ndio wana mdhalilisha bure!, na jamaa anavyopenda masifa mbele ya kamera, kiukweli huu ushamba wa kabila langu sometimes unanchekesha!.
Nasisitiza naunga mkono kinachofanyika kuisafisha serikali yetu na madudu yaliyokithiri, the man is doing the right thing but in a wrong way!. Every human being needs dignity!. Pomoja na yote jamani, ka human dignity kawepo, na sio huu udhalilishaji mbele ya kamera halafu wanausha kipindi maalum!. Please wajemeni!.
Namshukuru sana Mzee wa kutumbua, leo kashtukiza lakini hakutumbua zile za papo kwa papo, labda sauti zetu zinaanza kusikika and to make sense, ila kufuatia nidhamu ya woga na kujikombakomba, mnaweza kushuhudia utumbuaji majipu ukifuatia ziaa hii pale Eapoti leo Jumamosi, au siku ya Jumatatu, kisa jamaa kapita pale kashuhudia na kadanyanywa!.
Tanzania inachohitaji sasa sio one man show, na movie za ze comedy!, tunahitaji kujenga mifumo, systems, kama hakuna scanner kwenye arrival zote duniani, bali kuna declaration forms, kila mzigo unaofikia arrival ulikuwa scanned kule ulikotoka na ukawa cleared ni majangili mataahira tuu ndio watauwa tembo wetu kisha wabebe pembe za ndovu kuingia nazo arrival! wakati mipaka yetu yote ni very porous!. Vitalu vyote vya uwindani vina private air strips midege inaingia na kutua na kujichukulia chochote na kuishia zao juu kwa juu, kwa kisingizio ni vitalu vya uwindaji!, ni kichaa tuu mwenye uwezo wa kutua porini kubeba nyara na kuja nazo arrival!.
Kila ndege kabla haijaingia Tanzania lazima ipate clearance toka TCAA, tuweke watu kwenye every private air stripe na kujenga mfumo toka TCAA kuwa hakuna ndege itakuwa cleared kutua kwenye shamba la bibi, bila bibi kutuma mjukuu ashuhudie hiyo ndege imeleta nini, na hakuna clearance kupaa hadi mjukuu athibitishe imebeba nini!.
Kiukweli hii ya leo kwangu ilikuwa Ze Comedy!, hatuwezi kwenda hivi jamani!.
Namalizia kwa lile swali la msingi, "Jee Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!".
Nawatakia Jumamosi Njema.
Pasco
Kwa mtiririko huu Kuna siku tutaimba:-"maisha bila elimu yanawezekana!".Maisha bila sukari yanawezekana.
Mkuu, ndiyo maana yangu. Huyo mdudu anaitwa nidhamu ya uoga sijapata maana yake halisi. Nidhamu ni nidhamu tu. Private Sector mtu anajua akiharibu anatimuliwahakuna nidhamu ya woga kwenye private sector.kuna nidhamu
Naona mkuu umekaa sana marekani Kiswahili shida. Nidhamu ya woga maana yake ni nidhamu muda mfupi kwa kumuogopa mtu au mfumo kwa wakati fulani. Mtu au mfumo ukiondoka muhusika anarudi kwenye utovu wa nidhamu ambao ni jadi yake. Sasa umechambua maneno in your favor kwa malengo tunayoyajua. Kukiwa na mfumo mzuri kila mtu anakuwa na nidhamu kwa vile asiye na nidhamu atafukuzwaYaani, katika utimamu wa akili kabisa unasema ni "heri ukose nidhamu kwa vile utafukuzwa kazi" kuliko kuwa na nidhamu? Mtu mwenye nidhamu ya woga anaweza kukiuka maadili lakini mwenye woga wa nidhamu atajitahidi kufuata maadili na weledi. Hakuna uzuri wa kuwa na mtu asiye na nidhamu.