Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!.

Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!.

Namhurumia saana rais wangu maana anaongoza watu ambao watu wenye akili waliuzwa utumwani kisha kuuwawa sasa yamebaki mazuzu zii-dawa aanze kutembea na mijeredi kabisa
 
Tatizo mkienda shule za kata huwa mnaenda kusomea ujinga ndio maana saizi mnasema maisha bila sukari yanawezekana na mtasema maisha bila elimu yanawezekana soon. Raisi anayo haki ya kufanya ziara kila sehemu ya nchi hii, lakini akimaliza ziara lazima aweke mfumo sawa isaidie sekta nzima. Hauwezi kuweka mfumo kwa kuongea na ATTENDANT mbele ya kamera. Magufuli ni mkemia na mathematics, anahitaji kujifunza vitu vingine toka kwa wataalam na washauri na sio kuamrisha kitu bila kuwa na background yake.

Mathematician.
 
Mathematician mkuu. Kitu kingine kwa taarifa yako Dk.Magufuli anajua mashine hizo zinavyo fanya kazi - mwana sayansi gani atashindwa kuelewa jinsi metal detector na x-ray machines zinavyo fanya kazi!!!
 
Ndani ya miezi 6 magu kachemka vibaya sana, now naona hata watumishi hawamwogopi tena washamwona ni debe tupu, kuna siku atatolewa uvivu mbele ya camera
.......alipokuwa anajibishana na yule C.E.O wa hiyo JNIA alifika mahali jamaa akakasirika, presha ikampanda na akamropokea yule bwana;

"ukiendelea kunidanganya nitakuweka lockup sasa hivi.....au unataka nikiweke lockup eeeeh...."

Halafu ilikuwa kila wakijaribu kutaka kumpa detailed information juu ya tatizo lilipo hapo, jamaa alikuwa hasubiri afike mwisho wa maelezo.....wanakuwa interrupted....

Yaani jamaa alienda akiwa na majibu ya hukumu ya matatizo ya pale!!

Ki ukweli kila mtu alishangaa ni kwa nini mtu hakufukuzwa/simamishwa kazi palepale......

It was a terorizing visit, I agree. Hata hivyo pia kuna matatizo pale ya usimamizi ya uwanja huo, something must be done immeadiately!!

Na ofcoz nakubaliana na wewe. Na sio "watakuwa hawamwogopi tena".....Bali kwa sasa watu wameshamzoea na walishawazoea wasaidizi kwa mtindo wao wa uongozi. Watu wako tayari wakati wowote kwa lolote.....hata kuwekwa lockup sio ishu tena!!

Ukiwa na utawala wa dizaini hii, binadamu naye mjanja anabuni njia ya kukabiliana nawe. Watu hawaogopi kufukuzwa kazi tena na psychologically wako tayari wakati wowote wamejiandaa kwa hilo!!

Ikifikia hatua ya watu wakajenga dhana hizi vichwani mwao, ujue hakuna kazi na hakuna maendeleo yoyote tunayoweza ku achieve ktk mazingira haya!!

Nakubaliana na Ben Sanane, kama kiongozi na manager, ni muhimu sana kusikiliza na kisha kujenga mazingira bora ya kazi na kutengeneza chain of accountability ktk nchi na tuachane na mtindo wa ONE MAN SHOW!

Itafika wakati utabaki unacheza peke yako uwanjani....one man show...!!
 
Dignity ipi unayohubiri kwa mtendaji mzembe? Unajua kwamba moja ya sababu kubwa inayochangia nchi kumark time ni uzembe?
 
Dignity ipi unayohubiri kwa mtendaji mzembe? Unajua kwamba moja ya sababu kubwa inayochangia nchi kumark time ni uzembe?[/QUOTE

Uzembe haupo kwa watumishi wa chini tu mkubwa. Hawa ni victims/waathirika wa uzembe mkuu wa wakubw

Nakubali uzembe upo sana lakini chanzo cha huu uzembe ni nini hasa?

Uzembe uko kuanzia huko IKULU serikalini, njoo bungeni, na hadi ktk mahakama zetu!!

You just look!

Bunge linapitisha bajeti kwenda ktk taasisi fulani ya fedha kiasi fulani lakini serikali mpaka mwaka wa fedha unaisha imepeleka 20% ya bajeti hiyo au zero kabisa!!

Kumbuka ktk bajeti hiyo ndiyo unawawezesha wafanyakazi wa taasisi hiyo wafannye kazi, wapate vitendea kazi.....

Hivi hapa ukikuta watu wako ofisini wamekaa tu, wanasogoa sogoa tu utawawajibisha kwa sbb hawafanyi kazi?? Umewawezesha kufanya jazi??

Uzembe unajengwa na mazingira haya!!!

Lipo tatizo la msingi kama nchi tunalopaswa kulishughulikia!!
 
Nani mwoga,Pasco. Wale watu walioficha sukari wanamuogopa nani?

Andrew Nyerere,

Kaka na wewe unaamini kuwa katika Godown moja lenye Tani kadhaa za Unga,Tani za Mafuta,na Tani za Sukari kuwa basi Sukari imefichwa lakini hivyo vingine vimehifadhiwa?

Hizo kauli za Sukari imefichwa ni kauli za mtawala anayejaribu kuhamisha lawama baada ya uamuzi wake mbovu kumuumbua.
 
Ukiwa mpinzani haimaanishi kuwa unakuwa mjinga au unakosa ufahamu. Au wapinzani mmelogwa na aliyewaloga alishakufa? Hivi itakapofika mwaka wa 3 wa utawala wa JPM baada ya kuimalisha hiyo mnayoita nidhamu ya woga akaanza kujenga mifumo dhabiti mnayoililia nyie mtabaki na ajenda ipi? Nina uhakika kuwa, uwezi kujenga kitu bila kuwa na pa kuaanzia. Miaka miwili ya kwanza au hata mitano kabisa ni miaka ya vita ya kufyeka, kuchoma nyasi/misitu, kulima n.k. miaka ya baada ya hapo, itakuwa ya kujenga hiyo mifumo. Hiyo ndiyo TZ tuitakayo....siyo TZ iliyojengwa bila msingi sahihi na imara.

Unaota ndoto cha mchana wa jua kali mkubwa!!

Unavyoona hivi, ndiyo hivi hivi hadi anakata miaka yake mitano!

Si tayari anakaribia kuua mwaka mmoja? Unaona uelekeo wowote anakotaka twende kama si kila uchwao ni yaleyale......

Miezi mitatu mizima anahangaika na sukari na Bunge live au recorded....ndiyo hivi hivi mwishowe vuuuuuu 2020 inamgonga kichwani!
 
Kwani kapoteza nini kufanya hiyo wondering management, hapo hoja ya Lissu haina nguvu tena basi yeye mwenyewe kama Rais kuongea na junior staff inampa uwanja mpana wa kujua matatizo from the grass root kuliko kuongea na watu wa juu wanaishia kukupa report za kupika za uongo ambazo hazija tusaidia kwa miaka hamsini sasa.

Hivi kweli kabisa kwa akili yako unataka kutuambia hapo alikuwa anaongea na wafanyakazi wale wa uliowaita "grass roots" ili ajue matatizo yao?

Ulipokuwa unamwangalia na kumsikiliza alikuwa hata anawasikiliza hao wafanyakazi? Hakuna.

Jamaa alikwenda akiwa anawaona wale ni mashetani tu, si wafanyakazi wake!!... mtazame na msikilize tena...

Alienda pale akijua kuna "sabotage" na alitamka hii kitu palepale.....kwa lugha nyingine alikwenda akiwa na hukumu yao kichwani mwake!!

Mtu wa namna hii hawezi kukusikiliza, and that's what happened exactly.....
 
Pasco lets be serious, hivi ile hali ya jana uliiona ipo sawa kabisa?, wewe umesafiri elsewhere ona airports za wenzetu, there is always maximum security, sasa kwa yale majibu ya wale watendaji wa jana kweli are we serious, overhaul inahitajika mara moja, issue ya usalama lazima ipewe kipaumbele, Na tusitetee wazembe wa namna ile by any standard.
Hawezi kufanya overhaul bila camera?
 
Dah umenichekesha sana mkuu!! Kwa huyo huyu jamaa ni supervisor au manager na sio President...

Wazungu hawakuwa wajinga kuweka manager, then mkurugenzi, then vice president na hata senior vice president na mwishoooooooooooni anakuwepo president. Leo hii unamtaka mzee wangu wa Chato John Makufuli kuWANDA Tanzania nzima, kilomita za mraba 945,000 ili kuongoza nchi!!!! Ama kweli watanzania tumerogwa. Kama hata wewe uko nafasi ya 15 chini katika washauri wa raisi basi tumekwisha. Kwa upeo wako huu mdogo inatakiwa uwe nafasi ya mia huko chini ushauriane na wafagiaji wenzako
Umejadili vyema Ulokolokwitanga, tatizo ninaloliona kuna watu wameamua kutetea kila kitu anachokifanya mkulu wakidhani wanamsaidia kumbe ndio wanampoteza kabisa! Acha aendelee 'kuwanda'!
 
Dah umenichekesha sana mkuu!! Kwa huyo huyu jamaa ni supervisor au manager na sio President...

Wazungu hawakuwa wajinga kuweka manager, then mkurugenzi, then vice president na hata senior vice president na mwishoooooooooooni anakuwepo president. Leo hii unamtaka mzee wangu wa Chato John Makufuli kuWANDA Tanzania nzima, kilomita za mraba 945,000 ili kuongoza nchi!!!! Ama kweli watanzania tumerogwa. Kama hata wewe uko nafasi ya 15 chini katika washauri wa raisi basi tumekwisha. Kwa upeo wako huu mdogo inatakiwa uwe nafasi ya mia huko chini ushauriane na wafagiaji wenzako
Mkuu zidi kuwasomesha na kuwapa ufahamu waimba mapambio, unajua kilichoharibika ni mfumo wote wa uongozi, mfumo ndiyo uliosababisha ufisadi na kulindwa kwa mafisadi. Tungekuwa na mfumo sahihi isingekuwa rahisi kwa mtu kama Lugumi kusema kuwa kila jipu si kutumbua na hadi leo yuko huru wakati kuna mijamaa inalilia supervisor wa pale airport atumbuliwe, pathetic!

Mfumo uliosababisha rais kuwa na madaraka makubwa na kuyatumia vibaya, kumbuka upinzani ulizungumzia sana Gharama za safari za rais lakini waimba mapambio walisema, lakini leo ndiyo hao hao wanamtukuza kwa kupunguza safari na kuokoa pesa nyingi za serikali.

Sioni mantiki ya Lugumi kuwa nje leo hii na serikali iliyojitanabaisha kupiga vita ufisadi! Badala yake tunaletewa vihoja vingine vya airport. Rais ni taasisi kubwa sana kudeal na vitu kama hivi ila inatakiwa kuwa na mawazo huru kuliona hili.
 
Naijua historia ya Abraham Lincoln na sijaona popote alipozunguka marekani nzima kukagua kazi. Lincoln anasifika leo hii Marekani nzima kwa vile aliweka mifumo na misingi imara ambayo ilipelekea hadi kufanyika THE SECOND AMENDMENT ambayo Leo hii baadaye sana watu wa Marekani wanafaidi matunda. Kila sehemu kuna systems, procedures na regulator. Mfano mzuri wana vyombo kama NTSB, hata ukiingizi guta lako barabarani likaua watu hawasubiri Obama atoe amri, kesho yake watu wanaingia kazini
Huo mtindo wa utawala si lazima mpaka uige na namna ya utembeaji kama vile kunyata, kutambaa kuifikia ofisi. Cha msingi ili dhana ya mtindo huu kufanyika ni kwa mkuu kuzifikia ofisi za chini yake na kuangalia utendaji wake.
Ni ujinga kusema sijaona popote ambapo Lincolin alazunguuka Marekani nzima, na Mh Magufuli anazunguuka nchi nzima hivyo mitindo hii haifanani. Msingi hapa ni kukagua watu wa chini yako mara kwa mara haijalishi eneo ni kubwa kiasi gani ama ofisi au nchi nzima.
 
Ajabu sifa kuu ya nyumbu ni kutonyumbulika. Wako static kimawazo. Wanasubiri nyumbu mkuu apunge mkono wafuatishe. Pathetic!
Afadhali ya nyumbu watakimbilia kwenye chakula na maji, kuliko ng'ombe atapewa majani na pumba kisha atakamuliwa maziwa, ukimwambia sikukuu unatakiwa kunenepeshwa uchinjwe, tena ukamfungulia mlango akimbie hatotaka, sana sana atakupiga pembe. Bora ya nyumbu kuliko ng'ombe. Extremely pathetic
 
Naam dadangu, aidha watu wana nidhamu au hawana. Na hakuna kitu kama "nidhamu ya woga". Ukiwa mtumishi wa umma ni lazima uogope; uogope kuvunja sheria, uogope kutumia madaraka yako vibaya, uogope kukutwa unavuruga! Unatakiwa utende kazi kwa kujiamini, kwa weledi na kwa ufanisi unaotakiwa kutokana na nafasi yako. Sasa bosi wako akitokea na kukuta umekunja nne ukaruka juu na kujimwagia chai na kuanza kujifanya unafanya kazi manake ni kuwa hukuwa mwoga in the first place! Ungekuwa unaogopa ungekuwa huna wasiwasi. Hivyo, woga wa kinidhamu unahitajika na viongozi waendelee kuwashtukiza na kuwatumbua hasa kama watumishi hawawaogopi mabosi wao au viongozi wao wajuu.

Tulidekezwa mno hadi tukadeka na kuamini tunatakiwa kudekezwa.
Ukiwa mwongo na mtu kuyumba ktk misimamo kubaya sana - siku hizi unaandika kama mgeni humu JF, huna confidence kabisa!
 
Acha watu walete kugha zao za kupinga kila kitu Mara One Man show,Mara maigizo n.k, Magufuli akisema nimeamua tusonge mbele na tutasonga tu FULL STOP,yeye ndiye amiri Jeshi mkuu na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kama hukubaliani na hilo au hutaki anayoyafanya ama nchi au kunywa sumu ufe lakini ndio kiongozi wetu,wengine tunamkubali sanaaaaa HAPA KAZI TU..,majungu pelekeni UKAWA
 
.......alipokuwa anajibishana na yule C.E.O wa hiyo JNIA alifika mahali jamaa akakasirika, presha ikampanda na akamropokea yule bwana;

"ukiendelea kunidanganya nitakuweka lockup sasa hivi.....au unataka nikiweke lockup eeeeh...."

Halafu ilikuwa kila wakijaribu kutaka kumpa detailed information juu ya tatizo lilipo hapo, jamaa alikuwa hasubiri afike mwisho wa maelezo.....wanakuwa interrupted....

Yaani jamaa alienda akiwa na majibu ya hukumu ya matatizo ya pale!!

Ki ukweli kila mtu alishangaa ni kwa nini mtu hakufukuzwa/simamishwa kazi palepale......

It was a terorizing visit, I agree. Hata hivyo pia kuna matatizo pale ya usimamizi ya uwanja huo, something must be done immeadiately!!

Na ofcoz nakubaliana na wewe. Na sio "watakuwa hawamwogopi tena".....Bali kwa sasa watu wameshamzoea na walishawazoea wasaidizi kwa mtindo wao wa uongozi. Watu wako tayari wakati wowote kwa lolote.....hata kuwekwa lockup sio ishu tena!!

Ukiwa na utawala wa dizaini hii, binadamu naye mjanja anabuni njia ya kukabiliana nawe. Watu hawaogopi kufukuzwa kazi tena na psychologically wako tayari wakati wowote wamejiandaa kwa hilo!!

Ikifikia hatua ya watu wakajenga dhana hizi vichwani mwao, ujue hakuna kazi na hakuna maendeleo yoyote tunayoweza ku achieve ktk mazingira haya!!

Nakubaliana na Ben Sanane, kama kiongozi na manager, ni muhimu sana kusikiliza na kisha kujenga mazingira bora ya kazi na kutengeneza chain of accountability ktk nchi na tuachane na mtindo wa ONE MAN SHOW!

Itafika wakati utabaki unacheza peke yako uwanjani....one man show...!!

Kwa nini amwachie aseme mpaka mwisho wakati kila muhusika alikua azungumza la kwake - wahusika wote walionekana wazi wazi kuna kitu wanaficha hawataki kuwa wawazi - uhitaji shahada ya PhD kung'amua kinacho endelea pale - mashine zote mpaka ya back up haziwezi kuwa down at a go!

Watu wamekalia kumlahumu Rais, ni wachache walio pay attention alicho zungumza toka mwanzo - hakuja pale kwa bahati mbaya he had all info at his fingertips, we unafikiri kwa nini alimwambia operator awashe mashini nini kilicho tokea - Magufuli hafanyi mambo kwa kubabaisha ana watu reliable wanao mpata taarifa za kuaminika 24×7 na ni wengi - nyie jidanganyeni eti anakurupuka atakuja kuwashangaza wengi wenye kumtakia mema ambao ni wengi pamoja na diehard fisadis waliotaka hasiwe Rais from dayone - hawa ndiyo wanatafuta kila mbinu kuhujumu dhamila yake ya kweli ya kukomboa Taifa letu kwa mara ya pili, tulikuwa tumefikia pabaya.
 
Back
Top Bottom