Kwenye private sector kuna nidhamu. Hiyo mnayoita nidhamu ya uoga. Lakini ni nidhamu tu.Private sector zinaendelea na kupata faida bila hiyo wandering management.Mo Dewji hawaendi kila na mahali na kushtukiza,hata Bakhresa lakini wanafikia malengo walijiwekewa.Tanzania tuna mfumo bora mno ambao unahitaji just a small push na mambo yaende.Chini kabisa ni mtaa au kitongoji ambacho kina mwenyekiti,kuna kijiji ambacho kina serikali,kuna kata,tarafa,wilaya na mkoa na kote serikali imefika.Na kuhakikisha kuwa kuna effective mechanism ya accountability.
Mkapa aliinyosha nchi na kujenga uchumi bila kushtukiza.
Wewe una utaalamu gani wa Management? Au ni wataalamu gani hao.Kwenye theory ipi ya management? Unaona sasa....Wewe unaita Ze comedy lakini wataalam wa masuala ya Management watakiona kinachofanyika ni serious stuff.
Kinachofanywa na Rais Mgufuli wataalam wa masuala ya management wanaita management by wandering around ambayo mwasisi wake alikuwa Rais wa America, Abraham Lincoln wakati wa American civil war.
Tofauti yake ni kuwa, hii style ya management ilifanywa na Rais Abraham Lincoln wakati Marekani ikiwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe wakati Tanzania tuko kwenye vita dhidi ya ufisadi, uvivu, wezi, rushwa na ubadhilifu wa mali za umma.
Kwa msaada zaidi kama hufahamu maana ya Management by wandering around unaweza kusoma kitabu kinachoitwa, In Search of Excellence: Lessons From America's Best-Run Companies kilichoandikwa na wataalam wa masuala ya management ambao wanaitwa Tom Peters na Robert H. Waterman.
Haishangazi kusoma hoja kama hizi kwa sababu kuna wengine pia walipoambiwa dunia ni oblate spheroid walicheka na kusema hiyo ni Ze comedy.
Kuna wengine walipoambiwa unaweza ukaiba wanyama twiga wazima Tanzania na kuwasafirisha nje ya nchi kupitia kwenye uwanja wa ndege wa kimataifaTanzania, walicheka na kusema hiyo ni the comedy.
Kinachofanywa na Rais Magufuli ni kugawa shock therapy kwenye management na watazamaji kama huyu mleta mada ambao kwa mabandiko yao wanaonekana hawakuwahi kushuhudia style ya management by wandering around.
Ndani ya miezi 6 magu kachemka vibaya sana, now naona hata watumishi hawamwogopi tena washamwona ni debe tupu, kuna siku atatolewa uvivu mbele ya cameraMkuu Pasco huyu jamaa wa kukurupuka tayari nchi imeshamshinda na kwa kuwa ni mtu asiyeshaurika kwa kujiona anajua kila kitu basi nchi ndiyo inazidi kwenda mrama. Mama Samia kishaanza kumpinga kinamna na huku kukurupuka kwake (Kutumbua majipu)
Samia awataka waiga utumbuaji kutenda haki
Mkuu yaani ni aibuMkuu Pasco kwa tukio lile niliona aibu mimi, dah. Ugeni wa kusafiri kwa eapoti ndo tatizo. Sijui kaona wapi hilo analolitaka?
Ova
Mkuu acha kutetea hata uovu! Upo tofauti sana na jina lakoWewe ni mnafiki tu.
Leo umemkubali Zitto na hoja zake wakati kwenye hansard ya Jamiiforum kumejaa matusi na kejeli ulizokuwa unamrushia kila mara ukisema ni muongo, mnafiki na ndumila kuwili.
Hii nchi ina watu wa ajabu kweli.
Well said!!Wewe una utaalamu gani wa Management? Au ni wataalamu gani hao.Kwenye theory ipi ya management? Unaona sasa....
Hicho kitabu "In Search of Excellence ,A lesson From Americas Best-Run Companies" Cha Robert Waterman na Tom kiliandikwa karibia miongo mitatu iliyopita,1980s.
Nimekisoma na wewe ni aidha hujakisoma au umekisoma hujakielewa.
Yeye Mwenyewe alisema System and structures are the only tools for organizational Change. Acha uongo kisome tena au kama huna nakala nikuazime ukisome tena.Hakuna anachofanya Magufuli kinachofanana na hicho au anafanya in a twisted way
Nirudi kwenye mada sasa,
Mkuu Pasco,
Jana niliwaambia kwenye ule uzi waliokuja nao kwa Mbwembwe wakasema nina wivu ninamkejeli Rais
Hakuna Leadership Style ya Namna hii iliyowahi kufanikiwa Duniani
Hata Kim Jong-Un wa Korea ya Kaskazini anafanya vizuri zaidi ya hivi anavyofanya
Rais anafanya kazi ya Meneja wa uwanja wa Ndege au Security Manager
Tunahitaji atengeneze Chain of accountability.Ndio mfumo wa kitaasisi
Anavyofanya hivi akiwa hayupo watu wataanza kumtafuta Magufuli mwingine
Cha ajabu kuna wasomi(Sijui kama ni wasomi wenye viwango vya ukwelikweli) wanashabikia kama mazuzu.Hawana tofauti na wale walioenda Loliondo na wale walioliwa kwenye Upatu wa DECI
Rais anatangaza kutoa amri ya kuzuia kuagiza sukari wanashangilia "weweeee ...wewe ndio Jembe letu.Hakuna kama wewe.Yaani weee ndio Sokoine uliyefufuka"
Baada ya Mwezi Sukari hakuna au iliyopo inauzwa 3000-4000 .Wanakaa kimya
Rais anatoa Tamko kuwa "tutaagiza sukari Tani 70,000 kutoka nje .
Watu walewale wanashangilia weweeee.Wewe ndio mkombozi wetu,Wewe ni mchapakazi .Kweli nchi ilikua imeoza sasa unawanyoosha.Wewe huna tofauti na Nyerere"
Hawa ndio watakaokushambulia katika huu uzi
Kuna ule utafiti wa Nottingham University kuwa tu vinara wa unafiki Duniani bado unaendeleea kudhihirika
Kuna ule wa PEW Research kuwa Tunaongoza kwa kuamini katika Miujiza,Ushirikina duniani.Siwezi kuupinga maana hata hapa tunaamini katika Muujiza wa Magufuli kama Magufuli kushinda hata muujiza ambao ungeletwa na Rasimu ya Katiba ya Warioba au hata chain of accountability ambayo ingejengwa.Tunaamini muujiza wa Rais kuwa kila mahali kufanya kila shughuli
Kwa fikra na imani hizi kwanini tusichanjwe chale kwa waganga wa kienyeji au kutapeliwa makanisani.Kwanini tusifurike Loliondo na kuachana na tabibu za kisayansi mahospitalini(Hata Magufuli aliamini na akapata uzoefu kule na anapita njia ile ile ya Babu kwa kuwa watanzania ni wale wale walofurika kwa babu),Kwa nini DECI wasivune fedha nyingi kwetu ?
Nyerere alisema adui mkubwa kwetu ni ujinga.Ukimshinda tu umeshinda umaskini,Maradhi na hata ufisadi maana maadili yatakuwepo na uwezo wa kuwajibishana utakuwepo kwa kuwa hata ethics and principles of good governance zitakuwepo.
Ukute Rais kafanya tukio lile kupotezea sekeseke aliloliunda mwenyewe la Sukari na sakata la Lugumi. Kama kawaida watu wapo "Weweee huyu ndio Jembe,Hakuna kama wewe.UKAWA sidhani kama wangeweza hivi"
Halafu Sukari ni 3000 ,Asubuhi kama ya Leo wanaamka alfajiri zaidi ili kuikwepa familia na kujifanya kuwahi kwenye shughuli.
Management by objective (MBO) ingetumika sasa hivi ingeleta tija sana mshaurini a change gearWewe unaita Ze comedy lakini wataalam wa masuala ya Management watakiona kinachofanyika ni serious stuff.