Yaweza kuwa kweli make unamambo meng tu huu mmea ni vle we unaweza ujua kwa tatizo hili yule akaujua kwa tatzo lile nkKuna MTU aliniambia hivyo vijani vyake ni dawa ya presha
Kwenye makazi na sehem za njiani hasa zile za watembea kwa miguu kwa pembeni yake inaota sanaVijiji vya mikoa yoyote ile mkuu?
Maana nimesikia mzalia nyuma unaota sana kwenye makazi ya watu na sio polini.
Huku nilipo nimeitafuta sana bila mafanikio yoyote.Kwenye makazi na sehem za njiani hasa zile za watembea kwa miguu kwa pembeni yake inaota sana
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nitafanya jitihada utaipata kikubwa mwanandgu apate tiba mkuu ngoja nione itakuwajeHuku nilipo nimeitafuta sana bila mafanikio yoyote.
hata mitishamba ina kemikali mkuu!Dawa za mitishamba hazina masharti mengi kama dawa za Kemikali.
Amepona huku inaonesha ni positive mkuu??Kama una majibu ya vipimo alivyofanya recently tuma tukusaidie kutafisiri.
Maana kinachoonekana hapa ni ameishapona.
Usingaike sana na hizo dawa za kienyeji utaua figo.
sikupingi lkn Kumbuka hata hizo figo zinatibiwa na dawa ya kienyeji ndo mtu anapona harakaKama una majibu ya vipimo alivyofanya recently tuma tukusaidie kutafisiri.
Maana kinachoonekana hapa ni ameishapona.
Usingaike sana na hizo dawa za kienyeji utaua figo.
Majibu ya vipimo vya hepatitis kuna utalaam wake jinsi ya kuyainterpret.Amepona huku inaonesha ni positive mkuu??
Dawa za miti shamba zinaua figo mkuu??
Dawa za miti shamba kwanza hazina kemikali ,Amepona huku inaonesha ni positive mkuu??
Dawa za miti shamba zinaua figo mkuu??
Kama unajua right dosage ya hizo mitishamba na side effects then it's okay.sikupingi lkn Kumbuka hata hizo figo zinatibiwa na dawa ya kienyeji ndo mtu anapona haraka
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kwamba mimea aina chemicals ? You sure?Dawa za miti shamba kwanza hazina kemikali ,
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nnavyojua kwa haraka haraka japo uhakika snao make sjawahi mshuhudia mtu ameathirika nalo kuna aina flani hivi ya Aloevera inapatikana sna porini yenyewe inakuwa syo ya kijani ile ndo imesemekana kua inaua figoKama unajua right dosage ya hizo mitishamba na side effects then it's okay.
Ila dawa nyingi za kienyeji zinaua figo, ini etc kwa sababu right dosage haifaamiki.
Athari ni tofauti.hata mitishamba ina kemikali mkuu!
Athari ni tofauti.