Je, homa ya ini inatibika kwa mitishamba?

Kama una majibu ya vipimo alivyofanya recently tuma tukusaidie kutafisiri.
Maana kinachoonekana hapa ni ameishapona.
Usingaike sana na hizo dawa za kienyeji utaua figo.
 
Amepona huku inaonesha ni positive mkuu??

Dawa za miti shamba zinaua figo mkuu??
 
sikupingi lkn Kumbuka hata hizo figo zinatibiwa na dawa ya kienyeji ndo mtu anapona haraka

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Majibu ya vipimo vya hepatitis kuna utalaam wake jinsi ya kuyainterpret.

Yeah ni kweli 100% mitishamba inaua figo though siyo yote.
 
sikupingi lkn Kumbuka hata hizo figo zinatibiwa na dawa ya kienyeji ndo mtu anapona haraka

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kama unajua right dosage ya hizo mitishamba na side effects then it's okay.
Ila dawa nyingi za kienyeji zinaua figo, ini etc kwa sababu right dosage haifaamiki.
 
Ulishindwa kwenye mitishamba nenda kwa wachina wanapotoa tiba zao na dawa zao
 
Kama unajua right dosage ya hizo mitishamba na side effects then it's okay.
Ila dawa nyingi za kienyeji zinaua figo, ini etc kwa sababu right dosage haifaamiki.
Nnavyojua kwa haraka haraka japo uhakika snao make sjawahi mshuhudia mtu ameathirika nalo kuna aina flani hivi ya Aloevera inapatikana sna porini yenyewe inakuwa syo ya kijani ile ndo imesemekana kua inaua figo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ulishindwa kwenye mitishamba nenda kwa wachina wanapotoa tiba zao na dawa z
Mimi ninachotaka ni tiba mkuu.

Kama wachina wapo vizuri kutibu homa ya ini wewe niambie tu.
 
Back
Top Bottom