Je, homa ya ini inatibika kwa mitishamba?

Watu hapa tunatumia scientific evidence na research au ushuhuda. Mambo ya kwa jina la Yesu peleka kwenye majini uko. Mnakuwa wapumbavu mnanisha kitu bila hoja wala uzoefu wowote kisa imani zenu...
Nnachokiona kwako ni madaraja na imani wapo wanaoamini kila tatzo linatibika hosptal yaan wapo kisayansi tu wapo wanaokwenda hosptal kupima wajue tatzo nini alafu watajua dawa gani watumie na wanapona bila shaka yoyote enzi hzo watu walkuwa wanatibiwa na miti shamba bila sjui utafiti wala maandishi yoyote yale sema utandawazi umekuwa mwingi kitaa mfano hyo dawa ya chafya ulosema kiwango chake huwezi tumia sjui kijko ile inashkwa tu na vidole viwili kias basi na haya mambo ya utandawazi yamewafanya wengi kuumia kwa muda mrefu kisa tu hosptal wamesema ugonjwa huu hauna dawa ,au wanywe dawa fulan maisha yao yote yalobaki bila kujua wanajaza sumu mwilini kumbe wangetumia miti shamba wangepona na maisha yakasonga

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nnachokiona kwako ni madaraja na imani wapo wanaoamini kila tatzo linatibika hosptal yaan wapo kisayansi tu wapo wanaokwenda...
Hawa wanabisha bure tu mkuu wakati hata huko hospitali kuna muda dokta anakushauri utafute tiba mbadala.
 
Hawa wanabisha bure tu mkuu wakati hata huko hospitali kuna muda dokta anakushauri utafute tiba mbadala.
Wengi wasichokijua ni kwamba jinsi tulivyo ni kutokana na ulaji wetu ñdo ile mtu anaugua kisukari anakatazwa kula matunda kisa ni yana sukari bila kjua ile ni sukari ya asili na haina madhara ispokuwa faida.

Ila ataambiwa anywe dawa kila sku sasa unajiuliza dawa na matunda kipi kina sumu mwilini kwa mtu jibu baki nalo wewe

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ubarikiwe mkuu

Hata mimi macho yananisumbua kiasi
 
Point ya kuzingatia hapa mnakaza kichwa bure. Dawa yoyote ile iwe ya hospitali au mitishamba inahitaji utumie dozi isiyoumiza. Anayeambiwa dawa za asili zinaharibu figo zikitumiwa vibaya akabisha hilo ni juu yake. Afya ni yake akipata madhara kwake ni sawa. Mtu anatoa angalizo kwa jambo serious anakemewa ashindwe kwa jina la Yesu. Idiocy!
 
Kwahiyo kumbe ni bora kula madawa ya kemikeli za hospitali?
 
Mkuu dawa ya goita

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo kumbe ni bora kula madawa ya kemikeli za hospitali?
Hata kusoma ukaelewa nayo shida. Basi fanya hivi, tumia hizo dawa zako za asili bila dosage. Fanya iwe kama chakula kusanya hata magunia uchemshe unywe maana afya sio yangu ni ya kwako
 
Poleni sana

Nilikutwa na huu ugonjwa, na nikaambiwa n Chronic na ilinipasa kuwa nafanyiwa monitoring kila baada ya miezi sita
Nimeenda kuponea kwa Mwamposa,

Kaka kwa MUNGU YOTE YANAWEZEKANA
 
Poleni sana

Nilikutwa na huu ugonjwa, na nikaambiwa n Chronic na ilinipasa kuwa nafanyiwa monitoring kila baada ya miezi sita
Nimeenda kuponea kwa Mwamposa,

Kaka kwa MUNGU YOTE YANAWEZEKANA
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…