dealkubwa
Senior Member
- Jul 1, 2020
- 144
- 587
Kikombe kidogi ni kikombe cha chai au cha robo itakua una matatizo ya kutokujua mambo very comon kama kijiko cha chakula kibaba na nkKwahiyo kumbe ni bora kula madawa ya kemikeli za hospitali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikombe kidogi ni kikombe cha chai au cha robo itakua una matatizo ya kutokujua mambo very comon kama kijiko cha chakula kibaba na nkKwahiyo kumbe ni bora kula madawa ya kemikeli za hospitali?
Hili la H.I.V ni la kweli ndugu msaada tafadhaliWatu wanabisha ila mitishamba pia wengine wanapona hadi hiv/ukimwi cha msingi imani na kumuomba Mungu
Ulitoa sh. Ngapi kiongoziPoleni sana
Nilikutwa na huu ugonjwa, na nikaambiwa n Chronic na ilinipasa kuwa nafanyiwa monitoring kila baada ya miezi sita
Nimeenda kuponea kwa Mwamposa,
Kaka kwa MUNGU YOTE YANAWEZEKANA