GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Hawamshindwi sema hawajaamuaKuwekewa vikwazo wa kutumia wengine na wazungu wanaona wanamshinda kiduku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawamshindwi sema hawajaamuaKuwekewa vikwazo wa kutumia wengine na wazungu wanaona wanamshinda kiduku
Nchi yako bado inahangaika na uhaba wa madawati kwa shule ya msingi na sekondary sembuse hiyo akili kubwa ya internet?Tanzania tunashindwa nini kuwa na source yetu ya kuzalisha internet ?
Dunia ya Mungu, vitu vya mzungu.Waulize korea kaskazini
Walijithibitishia vipi kama awawezi kufika??Kuna mtaalamu mmoja wa kingereza akihojiwa na Al Jazeera mwezi uliopita alisema wahouth hawana uwezo wakuzifikia cable hizo sababu zipo mbali sana labda wapate msaada Kwa inchi yenye technology ya juu(Iran).
Nadhani walizingatia uwezo wa Houths katika masuala ya deep Sea technology.Walijithibitishia vipi kama awawezi kufika??
Source ya kuzalisha Internet?Tanzania tunashindwa nini kuwa na source yetu ya kuzalisha internet ?
Mvua zetu sio za uhakika mkuu.Tanzania tunashindwa nini kuwa na source yetu ya kuzalisha internet ?
Ugaidi wa kiarabu as usual.... watakuwa walikuwa wanakata nyaya huku wanaimba kale ka mwimbo( Allahu akbar)Huu nao ni ushindi?
Magaidi wakuu US wameshindwa sasa labda uingie wewe na familia yakoHouth ni magaidi yafaa wadhibitiwe mara moja.
gaidi ni nani lete definition hapa., nyinyi mnalishwa kila kinachotoka US na ulaya sasa wenzako wanataka ndoa ya jinsia moja vipi na wewe umejiandaaje kuolewaWanayo yafanya hayo magaidi kamwe hayatawasaidia wapalestina.