Je, Houth ndiyo waliokata nyaya tatu za intaneti chini ya bahari ya Red Sea?

Je, Houth ndiyo waliokata nyaya tatu za intaneti chini ya bahari ya Red Sea?

gaidi ni nani lete definition hapa., nyinyi mnalishwa kila kinachotoka US na ulaya sasa wenzako wanataka ndoa ya jinsia moja vipi na wewe umejiandaaje kuolewa
Inapofika swala la ndoa za jinsia moja tunatofautiana vibaya na wazungu lakini kwenye maswala ya ugaidi tunaungana kuupiga vita ugaidi.

Wale wanaoua watu kwa misingi ya imani za kidini au kwa makusudi mengine yoyote ndio magaidi.
 
Vipi kuhusu US waliuwa waislamu wanawake na watoto Iraq, Afghanistan pia waliuwa kwa makusudi waislamu wakiwemo wanawake na watoto, lakini Israel wanauwa waislam wa Palestine vipi hawawezi kuingia kwenye tafsiri uliyoleta ya magaidi?? Je wewe unayeshadidia haya haitoshi na wewe kuitwa gaidi?
 
Back
Top Bottom