gaidi ni nani lete definition hapa., nyinyi mnalishwa kila kinachotoka US na ulaya sasa wenzako wanataka ndoa ya jinsia moja vipi na wewe umejiandaaje kuolewa
Wale wanaoua watu kwa misingi ya imani za kidini au kwa makusudi mengine yoyote ndio magaidi.
Vipi kuhusu US waliuwa waislamu wanawake na watoto Iraq, Afghanistan pia waliuwa kwa makusudi waislamu wakiwemo wanawake na watoto, lakini Israel wanauwa waislam wa Palestine vipi hawawezi kuingia kwenye tafsiri uliyoleta ya magaidi?? Je wewe unayeshadidia haya haitoshi na wewe kuitwa gaidi?