kivipiccm hatuachiani maji mezani.
kama wao ccm hawaaminiani,hao nyumbu wengine kilikuwa kiherehere chao kudhani sasa mama wanamjua vyema tabia yake.
na katika hilo la sabaya,ndipo nilizidi kujiridhisha kwamba ccm wanawadharau sana wapinzani.
Nitafutie chumba mkuu.Mtajua wenyewe mimi nishafika Burundi huku... Tatizo lililopo huku Burundi, sungusungu ndio polisi
Onana na Simon Sirro atakukutanisha na ndugu wa Hamza maana bado wameshikiliwaHivi hakuna ndugu yeyote wa hamza.
Nina shida na nanii nina kazi nayo labda haipo hapo ghetto kwake.
Ukiwahi utapata ila ukichelewa kuna kambi za mahema zimeandaliwaNitafutie chumba mkuu.
Huku waziri madilu amebakiza kutunyonya damu tu
Angalia sakata la Sabaya mteule wa Rais aliyepita yuko anasota kisongo na mda si mrefu atapigwa mvua ya mawe, mother yupo kimya kabisa dahKuna mambo ambayo ukijifikiria hupati jibu rasmi,
Mwuenendo wa Rais Samia Suluhu umewachanganya wengi mpaka sasa baadhi wanamuelewa baadhi hawamuelewi na baadhi wamechanganyikiwa kabisa,
Wakati anaingia mwanzo mwanzo wapinzani walifurahi sana na wnanchi kwa ujumla, Wapinzani walifurahi sana wakiamini sasa wametoka kwenye kipindi kigumu cha JPM na sasa wanaingia kipindi ambacho watafanya siasa kwa uzuri,
Mambo yalianza kwenda mlama baada ya kushindwa kukutana nae ikulu, na hivi sasa upinzani wanashangaa kuona kipindi hiki ndio wanapitia magumu hadi Heche alisema hata JPM hajawai kuwafanyia hvyo, Lakini ukiangalia muonekano na hotuba za Mama SSH anaonekana ni mtu mkarimu sana, anaongea kwa Busara sana, Anaongea kwa hekima na anaonekana anahuruma sana lakini kwenye mambo yanayoendelea tumechanganyikiwa tunashindwa tumuhusishe moja kwa moja Rais Samia au yeye hausiki?
Kuna watu wanasema huwenda wanaomshauri Rais ndio wanampoteza au kuna watu wa karibu wanamuhujumu, lakini je mbona alivyoingia aliwaachia huru watu waliobambikiwa kesi? je nani alimshauri? nani alimuhujumu?
Tuelewe nini jamani?
Angalia sakata la Sabaya mteule wa Rais aliyepita yuko anasota kisongo na mda si mrefu atapigwa mvua ya mawe, mother yupo kimya kabisa dah
Hebu angalia Sakata la Askofu Gwajima Samia amevunga kama halioni vile, na jana kaongea kwa utani sana pale kawe lakini shangaa Gwajima leo kawekwa kiti moto na chama chake na si ajabu likaja bonge la adhabu huko,
Samia mnapiga wote stori vizuri ila ukipata msala unakufa nao kivyako
Mimi kwakweli Samia simuelewi ni mpole au ni mkali?
Ni Rais anayeheshimu misingi ya utawala bora na kwahivyo haingilii madaraka ya wengine...Tatizo tunataka democracy lakini pale inapokuwa against us tunaikana...Kuna mambo ambayo ukijifikiria hupati jibu rasmi,
Mwuenendo wa Rais Samia Suluhu umewachanganya wengi mpaka sasa baadhi wanamuelewa baadhi hawamuelewi na baadhi wamechanganyikiwa kabisa,
Wakati anaingia mwanzo mwanzo wapinzani walifurahi sana na wnanchi kwa ujumla, Wapinzani walifurahi sana wakiamini sasa wametoka kwenye kipindi kigumu cha JPM na sasa wanaingia kipindi ambacho watafanya siasa kwa uzuri,
Mambo yalianza kwenda mlama baada ya kushindwa kukutana nae ikulu, na hivi sasa upinzani wanashangaa kuona kipindi hiki ndio wanapitia magumu hadi Heche alisema hata JPM hajawai kuwafanyia hvyo, Lakini ukiangalia muonekano na hotuba za Mama SSH anaonekana ni mtu mkarimu sana, anaongea kwa Busara sana, Anaongea kwa hekima na anaonekana anahuruma sana lakini kwenye mambo yanayoendelea tumechanganyikiwa tunashindwa tumuhusishe moja kwa moja Rais Samia au yeye hausiki?
Kuna watu wanasema huwenda wanaomshauri Rais ndio wanampoteza au kuna watu wa karibu wanamuhujumu, lakini je mbona alivyoingia aliwaachia huru watu waliobambikiwa kesi? je nani alimshauri? nani alimuhujumu?
Tuelewe nini jamani?
Angalia sakata la Sabaya mteule wa Rais aliyepita yuko anasota kisongo na mda si mrefu atapigwa mvua ya mawe, mother yupo kimya kabisa dah
Hebu angalia Sakata la Askofu Gwajima Samia amevunga kama halioni vile, na jana kaongea kwa utani sana pale kawe lakini shangaa Gwajima leo kawekwa kiti moto na chama chake na si ajabu likaja bonge la adhabu huko,
Samia mnapiga wote stori vizuri ila ukipata msala unakufa nao kivyako
Mimi kwakweli Samia simuelewi ni mpole au ni mkali?
Tuondolee utopolo wako JiweTumuache Mama afanye kazi. Muda utatoa hukumu ya haki. Hata JPM, ipo siku jina lake litaandikwa kwa wino wa dhahabu. It is a matter of time....
unataka kusemaje?Kwenye deep state raisi ni kitu kidogo...
Rejea historia ya JF Kennedy...
Unamuondoaje kwa mfano? Si rahisi kihivyo. Tuendelee kudemka tu akili zitaingia kichwaniTuondolee utopolo wako Jiwe
Uchaguzi wa Zanzibar Seif alishinda hakushinda?unataka kusemaje?
iko wazi haina maswaliUchaguzi wa Zanzibar Seif alishinda hakushinda?
Hayupo mtu nchi hii anayeweza kumpa ushauri wa kumpoteza Rais, katika kipindi hiki ambacho Rais ameingia madarakani baada ya kuwa tumempoteza Rais mwingine. Mtu wa aina hiyo Tanzania kwa sasa hayupo, na kama yupo, basi hayuko kwenye nafasi ambayo anaweza akawa yuko karibu na Mama kiasi cha kumpa ushauri wa aina hiyo.Kuna watu wanasema huwenda wanaomshauri Rais ndio wanampoteza au kuna watu wa karibu wanamuhujumu, lakini je mbona alivyoingia aliwaachia huru watu waliobambikiwa kesi? je nani alimshauri? nani alimuhujumu?